Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Feisal Salum anaeleza pale ambapo alishindwana na Viongozi wa Simba SC kimazungumzo na mlango mwingine ukafunguka wa mazungumzo kati yake na Viongozi wa Yanga SC. •

Mahojiano ya Feisal Salum na yapo LIVE kwenye Youtube channel ya Clouds Media •

account_circle
POWER 98.7(@Powerfm987) 's Twitter Profile Photo

It's breakfast time...

Good morning and welcome to the with Thabiso TT Tema till 09:00.

Get in touch with us throughout the show.

☎️: 0861 987 000
📲: 083 303 7093
📺: DSTV Channel 889
🖥Live stream: power987.co.za/stream/

account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Kwenye ya CloudsFM tumeanza na story za kujitafuta mpaka kujipata kwa Feisal Salum. Feisal Salum🇹🇿, ambaye amekubali ku-share na sisi story za kutoka JKU ya Zanzibar hadi namna alivyojiunga na Klabu ya Wananchi Young Africans SC

account_circle
sollypoo(@sollypoo) 's Twitter Profile Photo

Monna wao tlatsa trolley ka
'no -name' items.🚩🚩🚩
I knw go sleg, but atleast add some colour....when able🤣🤣🤣
Thabiso TT Tema

account_circle
POWER 98.7(@Powerfm987) 's Twitter Profile Photo

COMING UP: Suspended Public Protector Busisiwe Mkhwebane has again called for the recusal of the chairperson of the Section 194 inquiry.

Thabiso TT Tema will be in conversation with Richard Dyantyi, chairperson of the Section 194 inquiry.



COMING UP: Suspended Public Protector Busisiwe Mkhwebane has again called for the recusal of the chairperson of the Section 194 inquiry.

@ThabisoTema will be in conversation with Richard Dyantyi, chairperson of the Section 194 inquiry.

#POWERBreakfast 

#POWERBreakfast
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

“Nafsi yangu ilitamani kwenda kuchezea Yanga, nilikubali kwenda kuichezea Yanga kwa kipato kidogo zaidi ya kile ambacho nilikikataa Simba SC, ni kwasababu ya mapenzi tu' -Feisal Salum Feisal Salum🇹🇿 LIVE muda huu kwenye ya CloudsFM

“Nafsi yangu ilitamani kwenda kuchezea Yanga, nilikubali kwenda kuichezea Yanga kwa kipato kidogo zaidi ya kile ambacho nilikikataa Simba SC, ni kwasababu ya mapenzi tu' -Feisal Salum @IamFeisalSalum LIVE muda huu kwenye #PowerBreakfast ya CloudsFM
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Katika kujibu yale machaguo matatu aliyoyaeleza Eng. Hersi Said katika mahojiano na wiki iliyopita, Feisal anaeleza hakuna klabu yoyote ambayo imekwisha kumpa ofa hadi sasa lakini hawezi kurejea Yanga SC kutokana na nafsi yake haipo tena klabuni hapo.…

account_circle
Elsy KETO-QUEEN👑KETOPRENEUR(@Elsy92390481) 's Twitter Profile Photo

POWER 98.7

Thabiso TT Tema
Lebohang Phokela
2 features on ur show I dont wanna miss: twitter trends by the king of twitter trends Lebo Phokela and U Win. Lebo kills this feature DEAD maan,,luv it...

account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Feisal amepangua suala la pesa yake ya signing fee Tsh Million 100 kulipwa mara 1 kwa mkupuo, anadai alikuwa analipwa kwa mafungu tena ni hadi kwa kugombana! 🤔

account_circle
The Best Blog Recipes(@dbstblogrecipes) 's Twitter Profile Photo

This impressive raspberry breakfast braid is pretty enough to serve at your next brunch gathering or for a special breakfast with your family.

account_circle