DailyStuff(@DailyStuffMag) 's Twitter Profile Photo

These pop songs were criticized, but they became the greatest songs everybody knows by heart. See the amazing list

account_circle
RememberTheName(@albogastbm) 's Twitter Profile Photo

Simba SC kuwa na wachezaji 6 kwenye kikosi cha msimu inatafakarisha. Kama kwenye ligi wamekuwa bora kuliko bingwa imekuwaje hawajawa mabingwa? Bado tunaamini kwenye usajili Simba inahitaji mabadiliko makubwa? Kwanini Simba hii inatajwa kuwa mbovu wakati takwimu uwanjani ziko juu?

Micho akifukuzwa Uganda ni rahisi kumpata. Ibenge inahitajika pesa kuvunja mkataba. Micho hatofautiani falsafa na Nabi, wachezaji hawatapa shida na system yake. Ibenge kocha mgumu sana wachezaji wachache wa kitanzania wanaoweza kuingia kwenye system yake. Mtachagua wenyewe sasa.