Dr Calipso(@nulphin) 's Twitter Profile Photo

🚨MGOMO 🚨 TUCTA, TALGWU, CWT na vyama vingine vya wafanyakazi vipo katika mazungumzo ya kugoma nchi nzima hii ni baada ya serikali kuwalipa wafanyakazi kinyume na ilivyo ahidi huku wengine wakiachwa bila ongezeko lolote.

account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

“Tayari tumeanza utafiti wa kina wa kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi ambao utajumuisha sekta ndogo ndogo kwa upana zaidi. Natoa wito kwa wajumbe wa bodi kutoka TUCTA [Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania] kushiriki kikamilifu katika mchakato huo ili tufikie

Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

KIKOKOTOO; SERIKALI inafanya unyang’anyi kwa wastaafu kwa kutumia sheria.

Makubaliano ya pamoja kati ya Serikali ya Tanzania, wafanyakazi (TUCTA) na waajiri (ATE) katika kikokotoo katika mifuko ya hifadhi ya jamii yalishusha kiinua mgongo kutoka 50% hadi 33%.

Pia, malipo ya

John kalage 🇹🇿(@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Maonesho ya Huduma kutoka kwa taasisi mbalimbali hapa uwanjani ikiwa sambamba na maadhimisho ya Wiki Ya Huduma kwa Wateja.

KARIBU TUWAHUDUMIE, Njoo mkutane na Wadau wetu, NSSF, PSSSF, WCF, OSHA na TUCTA

#WaajiriBonanza2023 
#ATETanzania
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'TUCTA tumeshuhudia aina hii ya ajira za mikataba ikitumika katika mazingira yanayomnyima mfanyakazi haki zitokanazo na ajira za kudumu, tumeshuhudia katika taasisi za umma na sekta binafsi zikitoa ajira za miezi mitatu mitatu au mwaka mmoja mmoja kwa wafanyakazi kwa mfululizo,

𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿(@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusaini mikataba miwili na Serikali ya Saudi Arabia kwa ajili ya kufungua fursa za Ajira za Watanzania nchini Saudi kwa kiasi

Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

ATE kwa kutambua umuhimu wa UTATU, mwaka huu itashirikiana na
wadau wa Kazi na Ajira wakiwemo Ofisi ya Waziri Mkuu-KVAU, WCF,
NSSF, PSSSF, TUCTA na OSHA katika kuandaa na kusherekea kwa
pamoja Waajiri Health Bonanza.~ Bi. Suzanne Ndomba-Doran

#WaajiriBonanzaLaunch
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya kikao cha pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Uwanja wa Sheikh Amri jijini

Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

“Chama cha wafanyakazi iliitwa NUTA na TANU, baadaye JUWATA na CCM, ikapakwa rangi ikaitwa OTTU alafu TUCTA
Ni maCCM yaleyale!” - Tundu Antiphas Lissu 🤣🤣

Usipitwe
youtube.com/live/kLeRR2NGD…

“Chama cha wafanyakazi iliitwa NUTA na TANU, baadaye JUWATA na CCM, ikapakwa rangi ikaitwa OTTU alafu TUCTA
Ni maCCM yaleyale!” - @TunduALissu 🤣🤣

Usipitwe 
youtube.com/live/kLeRR2NGD…
account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

ni wanafki sana.

Siku ambayo wanaambiwa na JPM kuwa haitatumika kwa mda wakakata Viuno kufurahia.

Hawakushinikiza sheria isisainiwe.

TUCTA na watunga sheria wote wanachezea shere wafanyakazi.

#TUCTA ni wanafki sana.

Siku ambayo wanaambiwa na JPM kuwa haitatumika  kwa mda wakakata Viuno kufurahia.

Hawakushinikiza sheria isisainiwe.

TUCTA na watunga sheria wote wanachezea shere wafanyakazi.
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

'Kuhusu nyongeza ya mishahara, kama mlivyosema kwenye risala yenu (risala ya TUCTA) mwaka wa fedha 2022/2023 serikali ilipandisha kima cha chini cha mishahara kwa asilimia 23.3 kutoka shilingi 300000 (laki tatu) hadi shilingi 370000 (laki tatu na elfu sabini) kwa mwezi, lengo la

Daktari Wa Manesi 💉💊(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Maonesho ya Huduma kutoka kwa taasisi mbalimbali hapa uwanjani ikiwa sambamba na maadhimisho ya Wiki Ya Huduma kwa Wateja.

KARIBU TUWAHUDUMIE, Njoo mkutane na Wadau wetu, NSSF, PSSSF, WCF, OSHA na TUCTA

Cc Association of Tanzania Employers(ATE)

Maonesho ya Huduma kutoka kwa taasisi mbalimbali hapa uwanjani ikiwa sambamba na maadhimisho ya Wiki Ya Huduma kwa Wateja. 

KARIBU TUWAHUDUMIE, Njoo mkutane na Wadau wetu, NSSF, PSSSF, WCF, OSHA na TUCTA

#WaajiriBonanza2023 
#ATETanzania

Cc @ATE_Tanzania
account_circle
John kalage 🇹🇿(@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Mh. Waziri Mkuu anawapongeza wadau mbalimbali ikiwemo TUCTA kwa kufanya kazi pamoja ili kuongeza tija kwenye serikali yetu. Kipekee nampongeza mshauri elekezi aliyekamilisha mchakato wote wa kuwapata washindani waliopokea tuzo siku ya Leo - Prof. Joyce Lazaro Ndalichako

|

Mh. Waziri Mkuu anawapongeza wadau mbalimbali ikiwemo TUCTA kwa kufanya kazi pamoja ili kuongeza tija kwenye serikali yetu. Kipekee nampongeza mshauri elekezi aliyekamilisha mchakato wote wa kuwapata washindani waliopokea tuzo siku ya Leo - @PNdalichako

#EYA2023 | #KiafrikaZaidi
account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Deo Ndejembi amekutana na kufanya kikao cha pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na kukagua maendeleo ya ukarabati wa uwanja wa Sheikh Amri jijini Arusha ambao

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe @Ndejembi amekutana na kufanya kikao cha pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na kukagua maendeleo ya ukarabati wa uwanja wa Sheikh Amri jijini Arusha ambao
account_circle
Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

Another day to remind you!

Zimebaki siku Tatu tu kuelekea

Association of Tanzania Employers(ATE) kwa kushirikiana na Osha Tanzania, TUCTA, NMB Bank na mashirika mengine
Wanakuletea Bonanza na Lengo likiwa Kuimarisha Afya ya Akili sehemu ya Kazi.

Another day to remind you! 

Zimebaki siku Tatu tu kuelekea #WaajiriBonanza2023

@ATE_Tanzania  kwa kushirikiana na Osha Tanzania, TUCTA, NMB Bank na mashirika mengine
Wanakuletea Bonanza na  Lengo likiwa Kuimarisha Afya ya Akili sehemu ya Kazi.

#WaajiriBonanza2023
#ATETanzania
account_circle
Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

One day Left 🔥

Association of Tanzania Employers(ATE) in partnership with Osha Tanzania, TUCTA, NSSF, WCF,

Wanakuletea Bonanza maeneo ya Viwanja vya Leaders Club ni kuanzia Kesho mpaka siku ya Jumamosi.

Karibu Uburudike na Ujifunze Mambo mengi kuhusu Afya ya Akili.

One day Left 🔥

@ATE_Tanzania in partnership with Osha Tanzania, TUCTA, NSSF, WCF,