Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari(@wizarahmth) 's Twitter Profileg
Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari

@wizarahmth

Akaunti hii inatoa habari /taarifa Mbalimbali za Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

ID:1336983322254249985

linkhttp://www.mawasiliano.go.tz calendar_today10-12-2020 10:37:47

3,0K Tweets

14,6K Followers

16 Following

Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari(@wizarahmth) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari , Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amewasili Wasso-Loliondo na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Kanali. Wilson Sakulo kwa ajili ya Hafla ya Uzinduzi wa Kituo cha Kurushia Matangazo ya Redio (TBC Taifa na Bongo FM) Ngorongoro leo Aprili 14, 2024.

Waziri wa @wizarahmth , Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amewasili Wasso-Loliondo na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Kanali. Wilson Sakulo kwa ajili ya Hafla ya Uzinduzi wa Kituo cha Kurushia Matangazo ya Redio (TBC Taifa na Bongo FM) Ngorongoro leo Aprili 14, 2024.
account_circle
Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari(@wizarahmth) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) wakati akiwasili kwa ajili ya kushiriki ibada ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, Waziri Mkuu Mstaafu katika kijiji cha Enguiki kilichopo Monduli Mkoani Arusha.