Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profileg
Faustine Ndugulile

@DocFaustine

Parliamentarian-Tanzania| Doctor| Fmr Minister-ICT| Fmr Deputy Minister-Health| Passionate about Sports, ICT & Global Health

ID:24580391

linkhttp://drfaustine.wordpress.com/ calendar_today15-03-2009 20:31:30

12,2K Tweets

333,5K Followers

1,1K Following

Follow People
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

Asante Mhe Waziri wa Ujenzi Innocent L. Bashungwa (Bash) kwa kuja Kigamboni kukagua athari za mvua kwenye miundombinu na kutoa matumaini kuhusu ujenzi wa barabara ya Kibada-Mwasonga-Tundwi Songani (41km) na Cheka-Kimbiji (10km).
Wananchi wa Kigamboni wanasubiria kwa hamu ujenzi wa barabara hizi.

Asante Mhe Waziri wa Ujenzi @innobash kwa kuja Kigamboni kukagua athari za mvua kwenye miundombinu na kutoa matumaini kuhusu ujenzi wa barabara ya Kibada-Mwasonga-Tundwi Songani (41km) na Cheka-Kimbiji (10km). Wananchi wa Kigamboni wanasubiria kwa hamu ujenzi wa barabara hizi.
account_circle
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

Nimetembelea miundombinu iliyoathirika na mvua katika kata za Mjimwema, Somangila, Kisarawe II, Kibada na Tungi.
Pongezi kwa Tanroads, Tarura na Manispaa ya Kigamboni kwa kuchukua hatua za haraka.
Nimezipongeza kamati za wananchi zilizoanza kurekebisha miundombinu. Tutawasaidia.

Nimetembelea miundombinu iliyoathirika na mvua katika kata za Mjimwema, Somangila, Kisarawe II, Kibada na Tungi. Pongezi kwa Tanroads, Tarura na Manispaa ya Kigamboni kwa kuchukua hatua za haraka. Nimezipongeza kamati za wananchi zilizoanza kurekebisha miundombinu. Tutawasaidia.
account_circle
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

As we commemorate , let us work towards intensifying efforts to eradicate malaria by 2030. Malaria vaccines can play a crucial role in achieving this goal.

account_circle
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea taarifa ya kukatika kwa barabara ya Kibada-Mwasonga kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam.
Timu ya watalaamu kutoka TANROADS HQ wako njiani kuja kwenye eneo lililoathirika kwa lengo la kuchukua hatua za haraka za kuunganisha mawasiliano ya barabara hii.

account_circle
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA
Kumekuwa na taharuki kuhusu uwepo wa mnyama chui katika maeneo ya Somangila. Baada ya kupata taarifa, timu ya wataalamu walifanya ufuatiliaji na kubaini HAKUNA UWEPO WA CHUI bali kuna uwepo wa wanyama aina ya MBWEHA.
Ufuatiliaji wa wanyama hawa unaendelea.

account_circle
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

I would like to thank the Tanzania Medical Students Association (TAMSA) for electing me as their patron. It is a great honour to be associated again with this esteemed organisation again. I pledge to support and promote the objectives of TAMSA to the best of my ability.

millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA…

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA…
account_circle
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

Ijumaa nimefanya ziara ya tathmini ya uharibifu wa miundombinu unaotokana na mvua zinazonyesha. Nakiri tatizo ni kubwa sana Kigamboni. Tumekubaliana na Manispaa ya Kigamboni na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kuhusu hatua za muda mfupi na za mrefu za kutatua changamoto hizi. Nafuatilia kwa karibu.

Ijumaa nimefanya ziara ya tathmini ya uharibifu wa miundombinu unaotokana na mvua zinazonyesha. Nakiri tatizo ni kubwa sana Kigamboni. Tumekubaliana na Manispaa ya Kigamboni na @TaruraTz kuhusu hatua za muda mfupi na za mrefu za kutatua changamoto hizi. Nafuatilia kwa karibu.
account_circle
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea ujumbe wako. Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa sasa wanafanya tathmini ya mvua kwenye maeneo yote ya Kigamboni. Lengo ni kujua ukubwa wa tatizo na kuchukua hatua za haraka.
Aidha, barabara za Vijibweni-Soweto na kwa Meya ziko kwenye mchakato wa kujengwa kwa lami kupitia DMDPII

account_circle
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

On the occasion of , with the theme , it is crucial to emphasize the importance of promoting equal access to high-quality and cost-effective healthcare services. Access to healthcare should be a fundamental right, not a luxury.

account_circle
Faustine Ndugulile(@DocFaustine) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana kwa majaribio haya ndugu H Simba - MCIPS. Nitakuwa mgeni wako baada ya kuahirisha Bunge ili nami nijifunze kuhusu kilimo cha cocoa Kigamboni. Cocoa inaweza kuwa ni zao la kibiashara kwa wana Kigamboni. Ni jambo kubwa sana hili, linahitaji kupongezwa Hussein M Bashe

account_circle