Elly Mafunga
@EllyMafunga7
ID:1406461398276845571
20-06-2021 03:58:58
8,9K Tweets
294 Followers
499 Following
#NenoLaMamaTaifa ..UWEZO WA KUTAWALA.
1 Wafalme 17:1..Eliya alikua binadamu kama sisi lakini neno lake lilitawala,Samaria ilibaki kulingana na neno lake, alishikilia anga kwa nguvu ya neno. Mwana Ligi, unaweza tawala anga kwa neno lako, tawala! Tukutane Galilaya! #Radio47Jumapili
#NenoLaMamaTaifa ...UWEZO WA KUTAWALA.
1 Wafalme 17:1...Eliya alikua binadamu kama sisi lakini neno lake lilitawala, Samaria ilibaki kulingana na neno lake yaani alishikilia anga kwa nguvu ya neno. Mwana Ligi, unaweza tawala anga kwa neno lako! Tukutane Galilaya!
Leo kwirenyi salvation army ibaada itakuwa maalum chini ya homeleague Elizabeth Achitsa na Luteni James Sakura #PambazukaJumapili Radio Citizen Nelson kawawa
Service check, Kakamega Township PAG,ibaada ya Vijana Leo.
Matendo ya Mungu hapa Kakamega Township PAG,wawawawawa neema Tu!!
Naringa!
#Radio47jumapili
Radio Citizen Nelson kawawa #PambazukaJumapili Kanisa Chebarus p.a.g Moisbrige mchungaji rev Noah Sakwa leo ni mkutano ya wadada unaongonzwa na MD
Moyo wangu ukuinie kila wakati nafsi yangu ikuhimidi kila wakati, ninakuinua, umetenda mema Bwana. Godwill_babette Official Huduma kwa wazee 13th Apr Nkr. Till no.586408 🙏 Radio 47 #Radio47Jumapili #Radio47Jumapili
Nachotaka niwewe tu Bwana
Haja ya moyo wangu ni Yesu
Np Nachotaka-Emma Omonge
#MwambaWaBaraka
#MwambaWaBaraka
Dorah Manya
KBC Radio Taifa
Huduma kwa wazee 13th Apr Nkr. Till no.586408 🙏 Radio 47 Leo nitashiriki kwirenyi salvation army chini ya luteni James Sakura #Radio47Jumapili
Karibu Kanisani...
Leo tunasherehekea ushindi wa Bwana maishani mwetu, Zaburi 44:8, so far, ametendaje? Unashiriki ibaada wapi? Huduma kwa wazee 13th Apr Nkr. Till no.586408 🙏 Radio 47 #Radio47Jumapili
#Radio47Jumapili
Karibu Kanisani...
Leo tunasherehekea ushindi wa Bwana maishani mwetu, Zaburi 44:8, so far, ametendaje? Unashiriki ibaada wapi? #Radio47Jumapili Huduma kwa wazee 13th Apr Nkr. Till no.586408 🙏
Good morning!! Welcome to Shangwe na Walter Kinjo. 6am - 10am. #ShangweNaWalterKinjo #RadioZaidiYaRadio
God of wonders, Yahweh we glorify your Name, Adonai you reign and forever you will be, we bow to worship you. Elijah Oyelade Huduma kwa wazee 13th Apr Nkr. Till no.586408 🙏 Radio 47 #Radio47Jumapili
#Radio47Jumapili
Huduma kwa wazee 13th Apr Nkr. Till no.586408 🙏 Jimmy Johnson Radio 47 You are God of fire,l bow see down and worship you. #Radio47Jumapili .
Praise the Lord Jesus!Neno la Mungu ni kweli, hajachelewa kukubariki!
Karibu kwa ibaada ya #MwambaWaBaraka nami Dorah Manya KBC Radio Taifa