Jayleen ๐Ÿ’ž(@JayleenRickie) 's Twitter Profileg
Jayleen ๐Ÿ’ž

@JayleenRickie

G.O.E๐Ÿ™...|
Life Therapist |

_Live_Love_laugh_

For Cakes๐ŸŽ‚
visit @leenbites_tz

ID:1270986456547364864

calendar_today11-06-2020 07:50:03

195,5K Tweets

186,7K Followers

7,3K Following

Follow People
Msomi Khan(@MsomiKhan18) 's Twitter Profile Photo

Sifa za Kupata Ajira kwa Sasa?

1. GPA kubwa
2. Connection
3. Rushwa
4. Chuo Ulichosoma

Ongezea Sifa moja tuone ๐Ÿ˜‚

account_circle
Dullah_theKing๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‘‰๐ŸฝNdani ya mwezi mmoja na Siku kadhaa imefikisha Streams '370K plus' katika Mtandao wa SPOTIFY......Pale BOOMPLAY ina kama '4M' hivin๐Ÿค๐Ÿฝ

Video yake pale mjini YOUTUBE ipo na Views '2.7M'....

๐Ÿ‘‰๐ŸฝNaiongelea ZAWADI๐ŸŽถ toka kwa ZUHURA aisee, Ukweli ni kwamba hii ni miongoni mwa ngomaโ€ฆ

๐Ÿ‘‰๐ŸฝNdani ya mwezi mmoja na Siku kadhaa imefikisha Streams '370K plus' katika Mtandao wa SPOTIFY......Pale BOOMPLAY ina kama '4M' hivin๐Ÿค๐Ÿฝ Video yake pale mjini YOUTUBE ipo na Views '2.7M'.... ๐Ÿ‘‰๐ŸฝNaiongelea ZAWADI๐ŸŽถ toka kwa ZUHURA aisee, Ukweli ni kwamba hii ni miongoni mwa ngomaโ€ฆ
account_circle
chuga girlโฃ๏ธ(@Lizzie36021) 's Twitter Profile Photo

Sema kuna haya malezi wanalelewa hawa watoto wa siku izi dah๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ
1. Mtoto hachapwi sio shule sio nyumbn

2. Anachotaka anapewa mda wowote

Sisi sasa enzi zile hehe ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ

account_circle
Malkia Nyuki ๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Haki wanaume tafuteni kazi za kufanya ukungwi hauwafai nini hii sasa ๐Ÿคฃ

Wanaume njooni msikie kungwi mwanaume anawafundisha jinsi ya kumkaza demu uchi ulegee ๐Ÿ™Œ

Vaa earphone kusikiliza kideo

Haki wanaume tafuteni kazi za kufanya ukungwi hauwafai nini hii sasa ๐Ÿคฃ Wanaume njooni msikie kungwi mwanaume anawafundisha jinsi ya kumkaza demu uchi ulegee ๐Ÿ™Œ Vaa earphone kusikiliza kideo
account_circle
Julius๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@Julius_MZA) 's Twitter Profile Photo

Tunapishana njiani unaweka simu mfukoni๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’

Hizi sura zetu zilishaacha kuaminika kabisa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Kwa hapa Dar sehemu gani nzuri ya kwenda kutulia na Familia yako au marafiki zako na kupata chakula kwa bei ndogo na sio kausha damu? ๐Ÿค” ๐Ÿ˜‚

Kwa hapa Dar sehemu gani nzuri ya kwenda kutulia na Familia yako au marafiki zako na kupata chakula kwa bei ndogo na sio kausha damu? ๐Ÿค” ๐Ÿ˜‚
account_circle
NASRI(@NasriAllyy) 's Twitter Profile Photo

Baadae hiyo hali itakavyokuwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Baadae hiyo hali #WAWEKEZAJI itakavyokuwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
account_circle
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Mazoezi 4 ambayo kila Mwanaume anapaswa kuyafanya (wadada save this for your men),

Uzi ๐Ÿงต,

Video ziko chini,

Like & Repost ๐Ÿ”„ Kwa Ajili ya Wengine!

Mazoezi 4 ambayo kila Mwanaume anapaswa kuyafanya (wadada save this for your men), Uzi ๐Ÿงต, Video ziko chini, Like & Repost ๐Ÿ”„ Kwa Ajili ya Wengine!
account_circle
Crocs๐ŸŠ(@crocskali) 's Twitter Profile Photo

For the ladies๐ŸŒธ๐Ÿ’๐Ÿ’•
Pink crocs ; 45000tshs( with charms)

Calls/deliveries ๐Ÿ“ž 0769928320

For the ladies๐ŸŒธ๐Ÿ’๐Ÿ’• Pink crocs ; 45000tshs( with charms) Calls/deliveries ๐Ÿ“ž 0769928320
account_circle
Jayleen ๐Ÿ’ž(@JayleenRickie) 's Twitter Profile Photo

Naombeni Retweets Zenu Wadau ๐Ÿ™

๐ŸŒฟ Namna gani unaweza kutatua changamoto ya uzazi kwako ewe mwanaume ili yasikufanye uwe mnyonge

Pengine umehangaika kila mahali lakini ninauhakik hujafika kwa Masai Herbal Clinic

๐Ÿ‘‰๐ŸปMasai Herbal Clinic inakuletea dawa za asili kabisaโ€ฆ

#Ad Naombeni Retweets Zenu Wadau ๐Ÿ™ ๐ŸŒฟ Namna gani unaweza kutatua changamoto ya uzazi kwako ewe mwanaume ili yasikufanye uwe mnyonge Pengine umehangaika kila mahali lakini ninauhakik hujafika kwa Masai Herbal Clinic ๐Ÿ‘‰๐ŸปMasai Herbal Clinic inakuletea dawa za asili kabisaโ€ฆ

Kama paulo alikua jela na akaweza kuandika barua kwa warumi, waefeso, wagalatia, wakorinto, wathesalonike, wafilipi, wakolosai, timotheo, Tito na filemoni. Hakuna ubusy wa kushindwa kumtext mpenzi wako ni hupendwi๐Ÿ˜‚