Eng Octavian Lasway(@Octavianlasway) 's Twitter Profileg
Eng Octavian Lasway

@Octavianlasway

Irrigation and water engineer|expert Drip irrigation|Green house, Soil, plant & Water|AutoCAD&GIS|Water activist|Spices Trader| CEO: HGAGL @greenagrictz

ID:939815359

linkhttp://www.greenagriculturetz.com calendar_today10-11-2012 19:56:21

45,4K Tweets

11,6K Followers

3,5K Following

Follow People
Eng Octavian Lasway(@Octavianlasway) 's Twitter Profile Photo

Kwa mvua zinazoendelea kunyesha ni muhimu sana watu kuchukua tahadhari , na ofisi nyingi zingeruhusu watu kufanyia kazi nyumbani

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Norway nchini Tanzania Tone Tinnes amesema Serikali yake itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kukuza sekta ya kilimo ili kuwawezesha wakulima hapa nchini kunufaika na kilimo kwa kuwapatia masoko na teknolojia za kisasa ambazo zitawawezesha kuzalisha kwa tija.

Balozi wa Norway nchini Tanzania Tone Tinnes amesema Serikali yake itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kukuza sekta ya kilimo ili kuwawezesha wakulima hapa nchini kunufaika na kilimo kwa kuwapatia masoko na teknolojia za kisasa ambazo zitawawezesha kuzalisha kwa tija.
account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Shamba linauzwa jijini Dodoma eneo la Mkonze (chisichili ). Lina ukubwa wa heka 1 na robo. Ni mita 500 kutoka barabara ya kwenda Iringa, na km 12 kutoka Dodoma mjini. Kuna umeme ,maji na tayari kuna makazi ya kisasa.
Lipo km 7 kutoka stand kuu ya SGR. Bei yake ni 10M
Nicheki.

Shamba linauzwa jijini Dodoma eneo la Mkonze (chisichili ). Lina ukubwa wa heka 1 na robo. Ni mita 500 kutoka barabara ya kwenda Iringa, na km 12 kutoka Dodoma mjini. Kuna umeme ,maji na tayari kuna makazi ya kisasa. Lipo km 7 kutoka stand kuu ya SGR. Bei yake ni 10M Nicheki.
account_circle
Suzana Fred(@SanneFred) 's Twitter Profile Photo

A site visit most of the time reminds me the way we grew up using charcaol and firewood for cooking.
The interesting part that gives me joy is trying to educate and convince the community on the use of as a source of clean cooking.

Gilsun technologies

A site visit most of the time reminds me the way we grew up using charcaol and firewood for cooking. The interesting part that gives me joy is trying to educate and convince the community on the use of #biogas as a source of clean cooking. #HappyEarthDay2024 @Gilsun_Tz #enery
account_circle
Hancy Machemba(@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya mbunge wangu jimboni niliamini inakuja na utatuzi wa kero ndogo ndogo za barabara yetu wakati tukisubiri kuonjeshwa lami,cha ajabu alikuja kutuahidi ahadi zile zile. Shida zetu tutabaki nazo wakati wote

account_circle
Joramu Nkumbi(@NkumbiJoram) 's Twitter Profile Photo

Ulumbi kila Pahala

1. Charger – kimemeshi
2. Appetizers –vihamuzi
3. Simcard – kadiwia/mkamimo
4. Memory card –kadi sakima
5. Business card – kadikazi
6. Microwave –tanuri ya miale
7. Cocktail party – tafrija mchapalo
8. Lift – kambarau
9. Toothpick – kimbaka
10. Scanner –mdaki

Ulumbi kila Pahala 1. Charger – kimemeshi 2. Appetizers –vihamuzi 3. Simcard – kadiwia/mkamimo 4. Memory card –kadi sakima 5. Business card – kadikazi 6. Microwave –tanuri ya miale 7. Cocktail party – tafrija mchapalo 8. Lift – kambarau 9. Toothpick – kimbaka 10. Scanner –mdaki
account_circle
Depedro Deniss Nkya(@depedrodeniss) 's Twitter Profile Photo

I just finished my last last last Exam.... God! This is officially curtains down. I know we aced this one too ABBA🙏...

account_circle
Goodluck Paul(@GoodluckPaul14) 's Twitter Profile Photo

Ardhi ya Tarakea inajiandaa kumpokea kijana wao. Hii ni zawadi aliyoiacha. Oh! wakati ni ukuta. Nusu karne ni kama mwezi tuu. Huu ndio ukurasa wa mwisho wa kila aliyezaliwa na mwanamke. Mungu ni mwema.

Ardhi ya Tarakea inajiandaa kumpokea kijana wao. Hii ni zawadi aliyoiacha. Oh! wakati ni ukuta. Nusu karne ni kama mwezi tuu. Huu ndio ukurasa wa mwisho wa kila aliyezaliwa na mwanamke. Mungu ni mwema.
account_circle