DR. ALLY POSSI
@allypossi
Deputy Permanent Secretary - Ministry of TRANSPORT - United Republic of Tanzania
ID:868555053581389824
27-05-2017 19:50:36
1,6K Tweets
2,5K Followers
596 Following
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi DR. ALLY POSSI ameutaka uongozi wa KAMPUNI YA HUDUMA ZA MELI kuongeza Kasi ya kuwasimamia wakandarasi wa Gas Entec anayejenga Meli ya MV MWANZA jijini Mwanza na KTMI CO- LTD anayekarabati Meli ya MT SANGARA mkoani Kigoma ili kukamilisha miradi hiyo kwa wakati
Katika ziara nchini Korea, Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, DR. ALLY POSSI alikutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Balozi wa Tanzania nchini humo Togolani Mavura .
Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, DR. ALLY POSSI akutana na kuzungumza na Uongozi wa Kampuni ya Hyundai Rotem nchini Korea ambayo ilipata zabuni ya kutengeneza vichwa vya treni ya SGR 17 na seti 10 za treni za mwendo kasi (EMU) na pia amekagua maendeleo mradi huo.
Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, DR. ALLY POSSI afanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni Sung Shin Rolling Stock Tecnology nchini Korea na kukagua mradi wa kutengeneza mebehewa 59 ya SGR ambapo kati ya hayo 59 mabehewa 14 yaliwasili nchini mwezi Novemba mwaka jana.
Naibu Katibu Mkuu anayesimamia Sekta ya Uchukuzi Dokta Ally Possi, amemtaka Mkandarasi YAP MAREKEZ kutoka Uturuki anaejenga kipande cha Reli ya kisasa kipande cha Tabora mpaka Isaka kuhakikisha anaanza ujenzi huo kwa wakati ili aweze kukamilisha ndani ya Muda.
#KitengeUpdates
NAIBU Katibu Mkuu anayesimamia sekta ya Uchukuzi, Dokta Ally Possi, amemtaka Mkandarasi YAP MAREKEZ kutoka Uturuki anaejenga kipande cha reli ya kisasa cha Tabora mpaka Isaka kuhakikisha anaanza ujenzi huo kwa wakati ili kukamilisha ndani ya muda.
#KAZIIENDELEE