Mzee Mpili ni miongoni wa wageni walioalikwa leo ikulu kwenye Hafla iliyoandaliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwaajili ya Kuipongeza klabu ya Young Africans SC kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF)
#KitengeUpdates
Ndege ya kusafirisha mizigo aina ya Boeing 767-300F AIR TANZANIA CARGO imewasili✍️
#KitengeUpdates
Just pick a fabric color of your choice for free amd have the same design at a fee. @Timeless_Piece
#Sellingcontents #GoldenGlobes2023 #KenyaVsuganda #RETWEEETMEPLEASE #kitengeUpdates
KITENGE ataacha lini UONGO? Halafu alivyo mjinga mwenye confidence akaweka na hashtag #KitengeUpdates kuonyesha ni mtu bingwa kwenye maapdesti... KARAMOJA ipo Uganda ndiyo picha hizo zimewekwa na Bobi Wine. Tukio la pasta Paul Mackenzie limetokea Malindi, Kenya.
MAULID KITENGE AACHA NYOYA
Voice Over Artist / Creativity / Videography by me Evodius B. Leonard Kashasha
Written by kenny.anjelina
#maulidkitenge #kitengeupdates
#efm tumejipata #efm #wasafi #wasafi media #news #news update #tanzania #trending #goviral #like #share #instagram
तील हम है,और गुड़ हो आप,मिठाई हम है,और मिठास हो आप,इस साल के पहले त्योंहार से….हो रही आज शुरुआत… आपको हमारी ओर से हैपी मकर संक्रांति 🪁
#MakarSankranti #MakaraSankranti #MakarSankranti 2023 #makarsankrantispecial #patang #patang bazi #kitefestival #kitengeUpdates
“Viongozi wa Yanga SC mmeomba ombi lenu nami nina ombi langu kwenu, malizeni mzozo na wachezaji, suala la Feisal Salum mkamalizane nalo haiwezekani timu kubwa mkawa na mzozo na katoto” - Mhe. Samia Suluhu ✍️
#KitengeUpdates
Maulid Kitenge ( Amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi,badala yake wavitumie vitengo vya habari kutoa taarifa za Serikali ) HAYA MANENO YA UONGO
#KitengeUpdates
Mdau wa masuala ya usafirishaji wa Makontena toka Uingereza anasema tusiingize siasa maana DP World ni Kampuni kubwa na inahudumia mpaka Bandari ya Uingereza.✍️
#KitengeUpdates
Yesu Wa Tongaren now says that because Makenzi's cult followers were fasting to see Jesus, the cultist should have simply transported them to Bungoma to see him!
This country should now be closed for repairs!! #CULT #MacKenzie #kitengeUpdates #Shakahola #Shakahola Massacre
Taarifa ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Msemaji wa Serikali #officialcharleshilary ✍️
#KitengeUpdates
Stephen Membe mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkataa Daktari wa Familia aliyehusika kupima sababu za kifo cha Bernard Membe.
#KitengeUpdates
PATCHO MWAMBA NI MAYELE MTUPU
Mwanamuziki wa Muziki wa Dansi nchini Patcho Mwamba usiku wa jana akiwa anatumbuiza Mjini Mafinga kwenye Wilaya Mufindi Mkoani Iringa, amejikuta akicheza style ya Fiston Mayele ambaye ni mshambuliaji wa Yanga SC.
#KitengeUpdates
Miongoni waliohudhuria hafla ya leo alioandaa Rais Samia kwa wachezaji wa Yanga kuwapongeza ni pamoja na Mzee wa Minyama Maulid Kitenge na Haji Manara
#KitengeUpdates
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri K Museveni mara baada ya kuwasili katika Mradi wa Umeme wa Kikagati - Murongo, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.
#KitengeUpdates
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Medali kama ishara ya shukrani kutoka kwa Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Eng. Hersi Said wakati wa hafla ya kuipongeza timu ya Yanga iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
#KitengeUpdates