Jeff Msangi®(@msangijeff) 's Twitter Profileg
Jeff Msangi®

@msangijeff

Comm.Analyst| WR|Businessman | Editor https://t.co/aAdC2d3S1g. Talents. Copywriter| Song Writer #Official Madridista #Yanga #TFC#Raptors Opinions are mine.

ID:20542290

linkhttp://bongocelebrity.com calendar_today10-02-2009 20:25:11

88,1K Tweets

71,8K Followers

5,5K Following

Forever living 🦅(@virutubishoo) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio maana halisi furaha yetu sio pesa

Editha anaitwa haelewi ndio kwanza anaenda kweny Kuwahi foleni 😂😂

NB: kama unatumia simu yenye network papatu papatu huwez kufungua najua pita tu😂

account_circle
Ian The Iron Lion🦁(@Rated_R29) 's Twitter Profile Photo

Jeff Msangi® Hiyo kipigo yenye unakula ukirudi home🤣🤣🤣,

Sema wazazi wa siku hizi tumekua soft kifala yani.

Kipindi kile ukiambiwa shule ukaite mzazi , ujue ni bora upigwe na ofisi nzima ya walimu

account_circle
Godfrey Achireka Jr.(@1TraVeLA) 's Twitter Profile Photo

Rais wa mpira na bilionea mhandisi Don Fiorentino Perez kitaaa na wana .. Ila wewe Bonge la mshamba/ Patoo 'ume hit na visingo vyako viwili' mwisho mpiji majohe hapo unatembea na watushisha vifua kama 7 Lol 😀😎

account_circle
Ng'engeri(@ensungwe_) 's Twitter Profile Photo

Umekumbusha mbali, tulikuwa tunakata kidumu au ndoo ya plastic tunateleza kwenye mwamba. Imajini kichwa kimegonga jiwe au umejipigiza kwenye mwamba ? 😰🙌🫣

account_circle
Jeff Msangi®(@msangijeff) 's Twitter Profile Photo

Maisha yetu haya hayakuwa na internet wala taa na yalikuwa poa sana. 😊

Kwenu hii michezo ilikuwa inajulikana kama nini? Kwetu; Mshararabwe! 😅🙌🏾

account_circle
Abdulkarim Kiembe(@KiembeJr) 's Twitter Profile Photo

Jeff Msangi® Yani furaha yangu hadi huyo kipara afukuzwe alimdhalilisha sana CR7 na kujiona kama ndo timu yake. Ukweli unatabia na kusubr muda kisha ukajidhihirisha

account_circle