m.s.a.k.i †(@raphyrodrick) 's Twitter Profileg
m.s.a.k.i †

@raphyrodrick

Bsc. Insurance & Risk Management | Abnormally Normal | Tycoon | 🕊️ mom |

ID:1542464720220954624

calendar_today30-06-2022 11:07:14

231,9K Tweets

30,9K Followers

6,1K Following

chaupole(@MagrethMtemi) 's Twitter Profile Photo

Katibu mkuu UVCCM ndugu Jokate Mwegelo amewaomba watanzania kuendelea kushikamana na kudumisha tunu za muungano, Huku akiwa kumbusha vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali

Katibu mkuu UVCCM ndugu @jokateM amewaomba watanzania kuendelea kushikamana na kudumisha tunu za muungano, Huku akiwa kumbusha vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali #TukataeLughaZaChukiNaUbaguzi #KataaUchocheziMuunganoWetuTunuYetu
account_circle
Ishengoma Irene(@IshengomaIrene) 's Twitter Profile Photo

Geita imeitwa ikaitikaaa🔥.
Mapema leo comr. Jokate Mwegelo amekagua Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi-Mwanza kuona maendeleo ya Mradi huo ambao utatatua Changamoto ya Usafiri kwa Wakazi wa Mwanza na jirani.

Geita imeitwa ikaitikaaa🔥. Mapema leo comr. @jokateM amekagua Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi-Mwanza kuona maendeleo ya Mradi huo ambao utatatua Changamoto ya Usafiri kwa Wakazi wa Mwanza na jirani. #KataaUchocheziMuunganoWetuTunuYetu #TukataeLughaZaChukiNaUbaguzi
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo amelitaka Jeshi la Polisi kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Haki, weledi na uadilifu na kuhakikisha usalama wa raia namali zao unaendelea kuimarika.

Mhe. Sillo amesema hayo wakati alipofanya ziara…

📍Dodoma Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo amelitaka Jeshi la Polisi kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Haki, weledi na uadilifu na kuhakikisha usalama wa raia namali zao unaendelea kuimarika. Mhe. Sillo amesema hayo wakati alipofanya ziara…
account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Hakika wana Dar es Salaam wameitika! Hongera sana Mhe RC Albert Chalamila na Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa DSM kwa kuandaa vyema tukio la leo la . Aidha nawashukuru Wote waliojitokeza wakiwemo jogginh clubs mbalimbali za mkoa wa DSM na maveterani…

Hakika wana Dar es Salaam wameitika! Hongera sana Mhe RC Albert Chalamila na Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa DSM kwa kuandaa vyema tukio la leo la #MazoeziYaPamojaKwaAfya. Aidha nawashukuru Wote waliojitokeza wakiwemo jogginh clubs mbalimbali za mkoa wa DSM na maveterani…
account_circle
Taivina James(@Thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Boooom🔥🔥🔥🔥

Kama hauna account ya Helabet jisajiri hapa👇

Helabet: t.ly/aOUqK
Promo Code andika:  VINA88

Uki deposit tu Bonus 200%

Boooom🔥🔥🔥🔥 Kama hauna account ya Helabet jisajiri hapa👇 Helabet: t.ly/aOUqK Promo Code andika:  VINA88 Uki deposit tu Bonus 200%
account_circle
Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

'Mwaka huu tuna uchaguzi wa serikali za mitaa, uchaguzi huu ni muhimu sana kwetu kujitathmini kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo ni lazima sisi chama cha mapinduzi tuhakikishe tumapata ushindi wa kutosha ambao utatupa mwanga wa uchaguzi mkuu 2025

'Mwaka huu tuna uchaguzi wa serikali za mitaa, uchaguzi huu ni muhimu sana kwetu kujitathmini kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo ni lazima sisi chama cha mapinduzi tuhakikishe tumapata ushindi wa kutosha ambao utatupa mwanga wa uchaguzi mkuu 2025
account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Katibu mkuu UVCCM ndugu Jokate Mwegelo amewaomba watanzania kuendelea kushikamana na kudumisha tunu za muungano, Huku akiwa kumbusha vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali

Katibu mkuu UVCCM ndugu @jokateM amewaomba watanzania kuendelea kushikamana na kudumisha tunu za muungano, Huku akiwa kumbusha vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali #TukataeLughaZaChukiNaUbaguzi #KataaUchocheziMuunganoWetuTunuYetu
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Katibu mkuu UVCCM amewataoa watanzia kuendelea kushikamana na kudumisha tunu za muungano, Huku akiwa kumbusha vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali

Katibu mkuu UVCCM amewataoa watanzia kuendelea kushikamana na kudumisha tunu za muungano, Huku akiwa kumbusha vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali #TukataeLughaZaChukiNaUbaguzi
account_circle
DOCHA (@ALugandu) 's Twitter Profile Photo

*✳️CHIMBUKO LA CHAMA CHA MAPINDUZI NI MASHINA; CDE JOKATE*

🗓️04 Mei, 2024
📍Geita

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Komredi Jokate Mwegelo (MNEC) amesema Chimbuko la Chama cha Mapinduzi ni kutoka kwenye Mashina kwani huko ndipo kwenye 👇👇

*✳️CHIMBUKO LA CHAMA CHA MAPINDUZI NI MASHINA; CDE JOKATE* 🗓️04 Mei, 2024 📍Geita Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Komredi @jokateM (MNEC) amesema Chimbuko la Chama cha Mapinduzi ni kutoka kwenye Mashina kwani huko ndipo kwenye 👇👇
account_circle
Dream_ online shop.(@Dream_onlineshp) 's Twitter Profile Photo

TEVA Leo zipo 🙌🔥🔥
.
Bei: 60,000/= badala ya 75,000/=
.
Size 40-45
.
Njoo Whatsapp chap nifanye delivery 🚚🛍️
.
wa.me/message/AQXUYZ…
.
P. S. Mkoani unapokea ndani ya masaa 24 tu
.
MIRIAM💜 Carol Ndosi Daktari Wa Manesi 💉💊 SANUKAnaCHAPO Lubasha Jr Adventure-360 Moyo wa TAIFA ™️

TEVA Leo zipo 🙌🔥🔥 . Bei: 60,000/= badala ya 75,000/= . Size 40-45 . Njoo Whatsapp chap nifanye delivery 🚚🛍️ . wa.me/message/AQXUYZ… . P. S. Mkoani unapokea ndani ya masaa 24 tu . @MiriamMkanaka @CarolNdosi @McinikaWaLamar @chapo255 @MarekaMalili @Adventure_36 @bajabiri
account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

'Ndugu zangu Chimbuko la Chama cha Mapinduzi lipo huku kwenye Matawi, huku ndipo walipo Wanachama na Wakereketwa wote wa CCM, lazima huku tuje tuone maendeleo ya Wanachama wetu'~|Jokate Mwegelo katibu mkuu UVCCM


'Ndugu zangu Chimbuko la Chama cha Mapinduzi lipo huku kwenye Matawi, huku ndipo walipo Wanachama na Wakereketwa wote wa CCM, lazima huku tuje tuone maendeleo ya Wanachama wetu'~|@jokateM katibu mkuu UVCCM #KataaUchocheziMuunganoWetuTunuYetu #TukataeLughaZaChukiNaUbaguzi
account_circle
Zee la Vyeti (PhD)(@babalao__) 's Twitter Profile Photo

Akiwa Mwanza Leo Katibu mkuu wa UVCCM Jokate Mwegelo alikagua Maendeleo ya Ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi

Ujenzi wa daraja hili unaotekelezwa na serikali ya CCM utakwenda kutatua changamoto ya usafiri kwa wakazi wa Mwanza na mikoa Jirani.

Akiwa Mwanza Leo Katibu mkuu wa UVCCM @jokateM alikagua Maendeleo ya Ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi Ujenzi wa daraja hili unaotekelezwa na serikali ya CCM utakwenda kutatua changamoto ya usafiri kwa wakazi wa Mwanza na mikoa Jirani. #KataaUchocheziMuunganoWetuTunuYetu…
account_circle