EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Unamkumbuka Muigizaji wa filamu ya Misukosuko ?

Huyu hapa amedakwa na Camera za akifunguka mwanzo mwisho kuhusu maisha yake na chanzo cha ukimya kwenye Uigizaji.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mume wa Shamsa Ford, Mlilo TZ anataka timu ya Mpira amaπŸ˜€

Sikia hapa akitaja idadi ya watoto anaowataka kutoka kwa Muigizaji huyo wa filamu.

account_circle
MASHUJAA FC(@MASHUJAA_FC) 's Twitter Profile Photo

Shujaa Asaliti Chama Mashabiki Zetu Tutaendelea Kuwapa Burudani Ileile Mwanzo Mwisho

Nikikumbuka Niliongoza Ligi Naishiwa Nguvu

Fahamu Movies(@FahamuMovies) 's Twitter Profile Photo

Hii movie actions zake zimechorwa vizuri (choreography), ila story yake ni mapupu 😢

Ushawahi ona story ina kimbia? Ndio humu sasa πŸ˜„ story ipo nduki usipokuwa makini unashangaa umefika mwisho bila kuelewa umepitia wapi.

All in all ni movie nzuri, burudani zaidi πŸ’ͺ

Vitus Nkuna(@VitusNkuna) 's Twitter Profile Photo

Siku mhimu kwa Wafanyakazi wa Tanzania lakini hakuna majibu ya kikokotoo, nyongeza za mshahara na madaraja yao ,mslahi ya wafanyakazi, ajira mpya kwa vijana,Ubora wa maeneo ya kazi nk. Badala yake CCM wanawaleta watoto (WADUDU) waliotokana na ugumu wa maisha kama burudani. Laana.

EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'KRG si msanii ila atakuwa ni mwana biashara ambaye saa zingine ni Mcheshi' - ERIC OMONDI akijibu swali la @conniebeily kuhusu KRG kutamba kuwa msanii Tajiri zaidi Kenya.

@conniebeily @modoo_255

account_circle