EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Unamkumbuka Muigizaji wa filamu ya Misukosuko ?

Huyu hapa amedakwa na Camera za akifunguka mwanzo mwisho kuhusu maisha yake na chanzo cha ukimya kwenye Uigizaji.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mume wa Shamsa Ford, Mlilo TZ anataka timu ya Mpira amaπŸ˜€

Sikia hapa akitaja idadi ya watoto anaowataka kutoka kwa Muigizaji huyo wa filamu.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: @Khal_chere mwanadada aliyepata bahati ya kushiriki katika movie ya Driver ambayo ipo streamed kwenye platform kubwa duniani ya anaeleza namna alivyopata nafasi hiyo ambayo ilitakiwa kuwa ya mwanadada @getrudemwita.

Cc @sharpshooter_one

…

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'KRG si msanii ila atakuwa ni mwana biashara ambaye saa zingine ni Mcheshi' - ERIC OMONDI akijibu swali la @conniebeily kuhusu KRG kutamba kuwa msanii Tajiri zaidi Kenya.

@conniebeily @modoo_255

account_circle
Vodacom Tanzania(@VodacomTanzania) 's Twitter Profile Photo

Huku kwetu ni Burudani kwani Bima ya chombo cha moto ipo Kiganjani.Unaanzaje kukosa? Changamkia VodaBima ulinde chombo chako leo.​

Tumia M-Pesa App au Piga *150 *00 #>huduma za kifedha >VodaBima​

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Mchekeshaji @ericomondi anasema Industry ya Comedy East Africa imekufa kwa sababu baada ya kuacha kufanya kazi hiyo mpaka akiamua kurudi jukwaani kuanza kuchekesha tena.

@conniebeily @modoo_255

account_circle
Fahamu Movies(@FahamuMovies) 's Twitter Profile Photo

Hii movie actions zake zimechorwa vizuri (choreography), ila story yake ni mapupu 😢

Ushawahi ona story ina kimbia? Ndio humu sasa πŸ˜„ story ipo nduki usipokuwa makini unashangaa umefika mwisho bila kuelewa umepitia wapi.

All in all ni movie nzuri, burudani zaidi πŸ’ͺ