millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile Faustine Ndugulile ameibuka mshindi wa kura za maoni Kigamboni kwa kupata kura 190, mshindi wa pili ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda mwenye kura 122.

#BREAKING: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile @DocFaustine ameibuka mshindi wa kura za maoni Kigamboni kwa kupata kura 190, mshindi wa pili ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda mwenye kura 122.
#MillardAyoUPDATES
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Hivi ndivyo hali ilivyo Jangwani usiku huu baada ya mvua kubwa kunyesha leo, maji yamejaa barabarani na kusababisha foleni kubwa huku baadhi ya Watu wakishuka kwenye daladala na kuamua kutembea kwa miguu.

account_circle
found 6threaltor(@6threaltor68807) 's Twitter Profile Photo

💥Miliki ardhi leo badae utanishukuru,wekeza na 'FOUND REAL ESTATE' Hati miliki uhakika mara baada ya malipo yako.

🎯SIFA ZA MIRADI YETU
📌Hati miliki ya wizara
📌Ardhi imepimwa
📌Makazi ya watu
📌Huduma za kijamii

📞0677 026 124

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa leo May 14,2024.