Neema Paul(@Bless_paula26) 's Twitter Profile Photo

Malezi na afya ya akili

Wazazi wanawasaidia vipi watoto kuwa wastahimilivu na kukabiliana na baadhi ya changamoto zinazoathiri afya ya akili

Malezi na afya ya akili

Wazazi wanawasaidia vipi watoto kuwa wastahimilivu na kukabiliana na baadhi ya changamoto zinazoathiri afya ya akili 

#ElimikaWikiendi
account_circle
Omar Kashera(@Mjengaomar) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuongeza mwaka mwingine kwenye umri wangu. Nawashukuru sana mama yangu na marehemu Baba yangu kwa malezi. Naishukuru sana familia yangu kwa kuwa marafiki zangu. Naadhimisha siku hii ya kuzaliwa kwangu pamoja na nchi yangu 🇹🇿🇹🇿60

Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuongeza mwaka mwingine kwenye umri wangu. Nawashukuru sana mama yangu na marehemu Baba yangu kwa malezi. Naishukuru sana familia yangu kwa kuwa marafiki zangu. Naadhimisha siku hii ya kuzaliwa kwangu pamoja na nchi yangu 🇹🇿🇹🇿@60
account_circle
Samaki Online(@SamakiOnline) 's Twitter Profile Photo

Wazazi wako wamekufunza nini kuhusu dunia?

Samaki alimuulza kijana wake vp kuhusu maji akamjbu maji ni nini,watu wengi tupo dunian lkn hatujui maana ya dunia wala hatufaham mbinu yakubadilisha wabaya wetu kuwa wazur lkn hii inasababishwa na malezi mabaya kutok katika jamii yko.

Privaldinho(@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Kaeda ni moja ya wachezaji wachache mno aliyekamilika kwa kiasi kikubwa sana kwenye ligi ya wanawake. Malezi ya soka aliyopata yanamfanya afanye vitu vingi sana kwa usahihi. Hapigi mpira anacheza mpira

Mkuujr5(@mkuuJr5) 's Twitter Profile Photo

Haya Tablet ina miezi mitatu kapasua kioo.

Halafu anaagiza kabisa Baba ninunulie kioo kipya .Ila malezi ya watoto ni changamoto mno.😂

Haya Tablet ina miezi mitatu kapasua kioo.

Halafu anaagiza kabisa Baba ninunulie kioo kipya .Ila malezi ya watoto ni changamoto mno.😂
account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Harakati za kupambana na mafuriko

Maafisa wa polisi wameungana na wahisani kutoka wakfu wa kijamii wa Oshwal kutoa msaada wa vyakula na malazi kwa wenyeji walioathirika na mafuriko Kaunti ya Kiambu.

Fridah Mwaka

account_circle
Dr. Dorothy Gwajima(@Dr_DGwajima) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea Siku ya Familia Duniani 15 Mei 2024.

“Tukubali Tofauti Zetu kwenye Familia; Kuimarisha Malezi ya Watoto’’ ni Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani 15 Mei 2024.

Fahamu 👇

1. Maana na lengo la kaulimbiu hii.
2. Ukubwa wa tatizo la migogoro na mifarakano ya…

Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Marupurupu siyo mshahara. Ni uwezesho ili Mbunge aweze kufanya kazi zake ipasavyo. Mfano: Jana nimeenda Tabora (mafuta, chakula, malazi Mimi na wasaidizi wangu), leo nimerudi Dodoma, kesho Dar! Nafikaje sehemu zote hizo Kama Sina mafuta na posho ya kujikimu?

Hii kazi ingekuwa…

account_circle
Dr. Tomic Simbeye 🇹🇿(@TSWO_MANYARA) 's Twitter Profile Photo

📍OFISI YA USTAWIBWA JAMII | MBULU TC

Radio habari Njema nikitoa elimu juu Ya Taratibu za kuasili mtoto , yaaani Huduma ya Malezi ya kambo pamoja na kuasili mtoto

Niambie kitu gani unataka kujifunza juu Ya Kuasili Mtoto mimi ni nitakufundisha Apa Buree kabisaaa

T(@TMnyama4_) 's Twitter Profile Photo

Mama ni Mama. Natumai Mungu akikujaalia ukajifungua utajua thamani yake kwa sasa umekosa bond kwa ajili ya malezi huenda ukapata connection nae.

POLE SANA

Mama ni Mama. Natumai Mungu akikujaalia ukajifungua utajua thamani yake kwa sasa umekosa bond kwa ajili ya malezi huenda ukapata connection nae. 

POLE SANA
account_circle
ELCT_HQ(@ElctHq) 's Twitter Profile Photo

kurugenzi ya afya na diakonia KKKT kupitia mradi wa malezi kwa kushirikiana na wadau (EGPAF na D Tree) wakitoa mafunzo ya ukusanyaji wa taarifa kidigitali kwa watoa huduma ya afya ngazi ya jamii katika jiji la Arusha.

Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

: Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 imebaini kuna msongamano wa Wafungwa kwa baadhi ya Magereza. Maofisa wa Magereza walieleza kuwa msongamano ulitokana na idadi ndogo ya Vyumba vya Malazi

Aidha, ukaguzi ulibaini Jeshi la Magereza halikuwa na…

#RipotiYaCAG: Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 imebaini kuna msongamano wa Wafungwa kwa baadhi ya Magereza. Maofisa wa Magereza walieleza kuwa msongamano ulitokana na idadi ndogo ya Vyumba vya Malazi

Aidha, ukaguzi ulibaini Jeshi la Magereza halikuwa na…
account_circle