Swahili Central(@swahili_central) 's Twitter Profile Photo

Kaa mkao wa kula, ni ijumaa hii saa moja kamili usiku. Tukiwa katika wiki ya maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari, tumekuandalia mjadala huu kabambe na tutakuwa pamoja na wahariri Salome Kitomari na khalifa said #PALESTINE ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ โ˜ญ๐ŸŒน

Cc Odo

Kaa mkao wa kula, ni ijumaa hii saa moja kamili usiku. Tukiwa katika wiki ya maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari, tumekuandalia mjadala huu kabambe na tutakuwa pamoja na wahariri @skitomari na @ThatBoyKhalifax 

Cc @NajjatOmar 
 #SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali
account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Unapenda Masomo ya Coding na masoko ya kidigitali? jisajili leo docs.google.com/forms/d/e/1FAIโ€ฆ

Na uzuri ni kwamba awamu hii fursa ya masomo haya ni kwa jinsia zote ๐Ÿค—

USIPANGE KUKOSA ๐Ÿ‘Œ

#DigitalSkills 
#MitandaoNaSisi 
#HakiZaKidijitali
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Badilisha mustakabali wako na LP Digital Jiunge na kozi zao za coding na masoko ya kidijitali na upate ujuzi unaohitajika kwa soko la leo

Nafasi zimebaki chache jiandikishe sasa docs.google.com/forms/d/e/1FAI

Badilisha mustakabali wako na @LPDigitalTZ Jiunge na kozi zao za coding na masoko ya kidijitali na upate ujuzi unaohitajika kwa soko la leo

#DigitalSkills #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali #DigitalMarketing #Coding
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Badilisha mustakabali wako na LP Digital Jiunge na kozi zao za coding na masoko ya kidijitali na upate ujuzi unaohitajika kwa soko la leo

Nafasi zimebaki chache jiandikishe sasa docs.google.com/forms/d/e/1FAI

Badilisha mustakabali wako na @LPDigitalTZ Jiunge na kozi zao za coding na masoko ya kidijitali na upate ujuzi unaohitajika kwa soko la leo

Nafasi zimebaki chache jiandikishe sasa docs.google.com/forms/d/e/1FAI

#DigitalSkills #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali
account_circle
Swahili Central(@swahili_central) 's Twitter Profile Photo

Maoni yako ni muhimu sana, hususani yale yenye dhamira ya kujenga leo yetu.

Yape thamani mawazo yako kwa kushare na wengine kupitia majukwaa ya kidijitali.

Hii ni sehemu ambayo ulimwengu umeichagua kupata taarifa mbalimbali.

Maoni yako ni muhimu sana, hususani yale yenye dhamira ya kujenga leo yetu.

Yape thamani mawazo yako kwa kushare na wengine kupitia majukwaa ya kidijitali. 

Hii ni sehemu ambayo ulimwengu umeichagua kupata taarifa mbalimbali.
#SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali
account_circle
LP Digital(@LPDigitalTZ) 's Twitter Profile Photo

Explore the realms of law, public policy, and activism with Aika Peter, a powerhouse lawyer and human rights champion.

Gain insights into feminist perspectives and groundbreaking policies, seizing the opportunity to learn from a true Sheroe. โ€ฆ

Explore the realms of law, public policy, and activism with Aika Peter, a powerhouse lawyer and human rights champion. 

Gain insights into feminist perspectives and groundbreaking policies, seizing the opportunity to learn from a true Sheroe. #MentorshipCafe #MitandaoNaSisiโ€ฆ
account_circle
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Chukua hatua ya kwanza kuelekea mafanikio! Fuatilia Mentorship Cafรฉ inayoendelea hivi sasa tarehe iliyoandaliwa na taasisi ya LP Digital. Ni fursa muhimu ya kukuza ujuzi wako na kufikia malengo yako.

Chukua hatua ya kwanza kuelekea mafanikio! Fuatilia Mentorship Cafรฉ inayoendelea hivi sasa tarehe  iliyoandaliwa na taasisi ya @LPDigitalTZ. Ni fursa muhimu ya kukuza ujuzi wako na kufikia malengo yako. 
#Techwomentz #SkillingTanzania #Mitandaonasisi
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Mimi ni muumini mzuri wa Mentor and mentee session kwa sababu tusipojifunza kwa waliotutangulia tutakuwa kizazi cha aina gani eti??

The LaunchPad wameweza Leo kuwakutanisha vijana wenye uchu wa kujifunza na kujua zaidi na Mentors wao..

Mimi ni muumini mzuri wa Mentor and mentee session kwa sababu tusipojifunza kwa waliotutangulia tutakuwa kizazi cha aina gani eti?? 

@TheLaunchPadTZ wameweza Leo kuwakutanisha vijana wenye uchu wa kujifunza na kujua zaidi na Mentors wao..

#SkillingTanzania 
#MitandaoNaSisi
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Kongole sana kwa LP Digital kwa kuleta Mentorship Cafe! Kutafuta mwongozo na ushauri katika taaluma au kazi zetu ni muhimu sana. Asante kwa kutambua umuhimu wa kuwa na mentor katika safari yetu ya maendeleo binafsi na mafanikio ya kazi.

Kongole sana kwa @LPDigitalTZ kwa kuleta Mentorship Cafe! Kutafuta mwongozo na ushauri katika taaluma au kazi zetu ni muhimu sana. Asante kwa kutambua umuhimu wa kuwa na mentor katika safari yetu ya maendeleo binafsi na mafanikio ya kazi.
 #SkillingTanzania #MitandaoNaSisi
account_circle
Swahili Central(@swahili_central) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŽ‰ Leo tunaadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar!๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Tujivunie mshikamano na urithi wetu wa pamoja tunapoelekea kwenye mustakabali wenye neema zaidi.

Hebu tuungane kusherehekea umoja wetu. ๐Ÿค

#MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali #MapinduziDay
account_circle
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Kongole sana kwa LP Digital kwa kuleta Mentorship Cafe! Kutafuta mwongozo na ushauri katika taaluma au kazi zetu ni muhimu sana. Asante kwa kutambua umuhimu wa kuwa na mentor katika safari yetu ya maendeleo binafsi na mafanikio ya kazi.

Kongole sana kwa @LPDigitalTZ kwa kuleta Mentorship Cafe! Kutafuta mwongozo na ushauri katika taaluma au kazi zetu ni muhimu sana. Asante kwa kutambua umuhimu wa kuwa na mentor katika safari yetu ya maendeleo binafsi na mafanikio ya kazi.
 #SkillingTanzania #MitandaoNaSisi
account_circle
Women and Technology Tanzania(@TechWomenTZ) 's Twitter Profile Photo

Mark your calendars! ๐Ÿ—“๏ธ

Donโ€™t miss the Mentorship Cafรฉ on Wednesday, May 1st, 2024. Hosted by LP Digital , this event is designed to foster growth and learning.

Mark your calendars! ๐Ÿ—“๏ธ 

Donโ€™t miss the Mentorship Cafรฉ on Wednesday, May 1st, 2024. Hosted by @LPDigitalTZ , this event is designed to foster growth and learning. 

#techwomentz #SkillingTanzania #mitandaonasisi
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara nyingine taasisi ya LP Digital imefanikiwa kuwa na Mentorship Cafe program inayosaidia kukuza ujuzi wako kupitia Mentor and Mentee session inayowajumuisha wabobezi na wataalamu katika nyaja mbalimbali.

Kwa mara nyingine taasisi ya @LPDigitalTZ imefanikiwa kuwa na Mentorship Cafe  program inayosaidia kukuza ujuzi wako kupitia Mentor and Mentee session inayowajumuisha wabobezi na wataalamu katika nyaja mbalimbali. 