SATIVA17(@Sativa255) 's Twitter Profile Photo

Whatsapp Grupu mapaka sasa wapo 987.

Bado watu 13 grupu lijae.

Unakaribishwa tucheze BASKETBALL INPLAY

Lakini pia tuna BET OF THE DAY ambazo kumlamba ni swala la muda tuu.

0757637880 whatsapp.

We nitext saizi uwahi nafasi.

Grupu ni bure, vitivo utavikuta huko huko 🀣

Whatsapp Grupu mapaka sasa wapo 987.

Bado watu 13 grupu lijae.

Unakaribishwa tucheze BASKETBALL INPLAY

Lakini pia tuna BET OF THE DAY ambazo kumlamba ni swala la muda tuu.

0757637880 whatsapp.

We nitext saizi uwahi nafasi.

Grupu ni bure, vitivo utavikuta huko huko 🀣
account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

β€œSiasa Ina Mambo mengi ya uongo na Ukweli,ningeweza mpa mtu ushauri Kama Kiongozi wa Nchi Lakin siwezi kumuahidi nafasi kuhamia chama changu Kwakuwa timu yangu ilikuwa inatosha na hata waliokuwa benchi walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kushika wadhifa huo” Jakaya Kikwete 2024/04/28…

β€œSiasa Ina Mambo mengi ya uongo na Ukweli,ningeweza mpa mtu ushauri Kama Kiongozi wa Nchi Lakin siwezi kumuahidi nafasi kuhamia chama changu Kwakuwa timu yangu ilikuwa inatosha na hata waliokuwa benchi walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kushika wadhifa huo” @jmkikwete  2024/04/28…
account_circle
Dar24(@Dar24News) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 05 ni siku ya Wakunga Duniani

Tuchukue nafasi hii kuthamini na kutambua mchango wa mikono ya kwanza inayopokea viumbe hai Duniani

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema ameeleza kuwa hakuna vita ya nafasi ya kugombea Urais ndani ya Chama hicho katika uchaguzi ujao huku akisema amewahi kumsikia Makamu mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu akiweka wazi kuwa hawezi kuchukua fomu…

#HABARI Aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema ameeleza kuwa hakuna vita ya nafasi ya kugombea Urais ndani ya Chama hicho katika uchaguzi ujao huku akisema amewahi kumsikia Makamu mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu akiweka wazi kuwa hawezi kuchukua fomu…
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Maoni: Kwa hali ya demokrasia ilivyo nchini sasa, huu sio muda muafaka kwa Lissu na Mbowe kugombea nafasi ya Urais.

Ni wazi kwamba bado hatujawa na mazingira ya kiushindani yanayoweza kumruhusu mgombea wa upinzani kushindana kwenye ballot box na Rais aliyepo madarakani.

Kwa…

Maoni: Kwa hali ya demokrasia ilivyo nchini sasa, huu sio muda muafaka kwa Lissu na Mbowe kugombea nafasi ya Urais. 

Ni wazi kwamba bado hatujawa na mazingira ya kiushindani yanayoweza kumruhusu mgombea wa upinzani kushindana kwenye ballot box na Rais aliyepo madarakani. 

Kwa…
account_circle
Alikiba(@OfficialAliKiba) 's Twitter Profile Photo

My Brother Salim Kikeke hii ilikuwa ndoto na maono tuliyokuwa nayo muda mrefu. Wakati unafanya maamuzi ya kurudi Nyumbani Tanzania tulipata nafasi ya kuzungumza na nikakueleza kiu yangu yakutaka kufanya kazi na wewe Gwiji, Nguli na Mtaalam wa Tasnia hii ya Habari Africa na Dunia.

account_circle
MokerπŸ‘(@mokertz__) 's Twitter Profile Photo

Mabeki 3 Wanakuwaga na mizuka aisee πŸ™ŒπŸ˜‚ Ila mwamba katuwakilisha vyema ajachezea nafasiπŸ™Œ

Tazama Video Chini

Mabeki 3 Wanakuwaga na mizuka aisee πŸ™ŒπŸ˜‚ Ila mwamba katuwakilisha vyema ajachezea nafasiπŸ™Œ 

Tazama Video Chini
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

CPA Helena Robert anasema kama ukiona umeshindwa kurejesha mkopo uliokopa kwa wakati jitahidi uzungumze na aliyekukopesha iwe mtu binafsi au taasisi wakuongezee muda au wakupe nafasi utoe kidogokidogo usijifiche kisa unadaiwa

account_circle
SATIVA17(@Sativa255) 's Twitter Profile Photo

Njoo whatsapp nikupe Connection.

SATIVA17 inplay inalisha Mitaa.πŸ”₯⛽️

Njoo ukiwa na akili ya kamali, tunalost pia.

0757637880 whatsapp

Nitext haraka nikuunge muda ninao.

Na grupu bado kidogo lijae wahi nafasi yako.

Njoo whatsapp nikupe Connection.

SATIVA17 inplay inalisha Mitaa.πŸ”₯⛽️

Njoo ukiwa na akili ya kamali, tunalost pia.

0757637880 whatsapp

Nitext haraka nikuunge muda ninao.

Na grupu bado kidogo lijae wahi nafasi yako.
account_circle
NBCTanzania(@NBCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Mfungulie mwanao Chanua Account, muwekee chochote kitu huku ukimfundisha nidhamu ya pesa, na upate nafasi ya kujishindia Tablet yake.

Tembelea tawi la NBC lililopo karibu yako Au piga 0800 711 177 (BURE).

account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

KIMENUKA IRINGA LISSU VS MBOWE.

Lissu amhambulia Mbowe hadharani Iringa leo.
Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu ukionja mara moja hauachi.

ACT jiandaeni nafasi ya chama kikuu cha upinzani ni ya kwenu sasa.

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi…

account_circle
Fridolini Theophili(@ftheophili_) 's Twitter Profile Photo

Kwa mashabiki wa simba sc unapewa nafasi upendekeze kati hawa makocha mmoja arudi kuinoa simba sc.

We utapendekeza yupi arudi kati ya hawa ? πŸ‘‡

Kwa mashabiki wa simba sc unapewa nafasi upendekeze kati hawa makocha mmoja arudi kuinoa simba sc. 

We utapendekeza yupi arudi kati ya hawa  ? πŸ‘‡
account_circle