EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: @yustamsowoya amesema na watu wote wanaoshindwa kutumia mawazo yao na kuyafanyia kazi badala yake wana visingizio vingi na wamebweteka, anasema wasimame na kwenda kufanya kazi waache kukaa na mawazo yao.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Mtangazaji wa ya kissa_daniel amesema kauli yake aliyoitoa wiki iliyopita kuhusu kutokubaliana na tafsiri ya wanawake wengi kuhusu 50 kwa 50 imepingwa na baadhi ya watu na wengine wameikubali Anasema kuwa kauli hiyo haina lengo la…

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

:'Wewe Mwanamke ambaye una biashara yako, wewe ndiyo uso wa biashara yako, muonekano wako pia unaweza ukawa unachangia biashara, huduma kwa wateja, lakini mwisho wa siku mbeba maono ni wewe mwenye biashara yako, ndiyo unajua unataka iende wapi, kwa hiyo inabidi uwe na…

account_circle
Andrix(@andrewerasmii) 's Twitter Profile Photo

📍Video ya kwanza kuwekwa kwenye mtandao wa YouTube iliyokuwa na title iliyosomeka ''Me at the Zoo'' imetimiza miaka 19, Video hiyo ambayo ilipakiwa na mwanzilishi mwenza wa mtandao huo Jawed Karim inajumla ya watazamaji Milioni 317.

Source: EastafricaRadio

📍Video ya kwanza kuwekwa kwenye mtandao wa YouTube iliyokuwa na title iliyosomeka ''Me at the Zoo'' imetimiza miaka 19, Video hiyo ambayo ilipakiwa na mwanzilishi mwenza wa mtandao huo Jawed Karim inajumla ya watazamaji Milioni 317.

Source: EastafricaRadio
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Haya ni baadhi ya maoni ya wananchi jijini Dar es Salaam kuhusu kima cha chini cha mshahara ambacho wamekitaja kwamba kinaweza kikaendana na hali halisi ya maisha ya sasa.

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Ni kweli fedha za sasa hivi hazina baraka kama ilivyokuwa miaka ya nyuma?, msikilize mzee Abdallah hapa akiwazungumzia vijana wa kizazi hiki kwa jinsi ambavyo wanatapanya fedha

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Mtangazaji wa kissa_daniel ameeleza kuwa kazi yake ya kwanza kuifanya ikamuingizia kipato ilikuwa ni kuuza mitumba aliyokuwa anaifuata Ilala Boma na kuuza chuo

Tuambie wewe kazi yako ya kwanza iliyokuingizia kipato ni ipi ?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga Pacome Zouzoua 'profesa' amesema ni kweli ametimiza mwezi sasa hajaingi uwanjani kucheza , ila amewaambia mashabiki wa Yanga SC mwanzo mwa msimu ujao atarejea uwanjani kuwatumika na kutoa burudani.

#MICHEZO: Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga Pacome Zouzoua 'profesa' amesema ni kweli ametimiza mwezi sasa hajaingi uwanjani kucheza , ila amewaambia mashabiki wa Yanga SC mwanzo mwa msimu ujao atarejea uwanjani kuwatumika na kutoa burudani.

#EastAfricaTv #EastAfricaRadio
account_circle