Rabbit(@Djrabbit255) 's Twitter Profile Photo

Kuna kitu nimeanza kukiamini kutoka kwa ma brother SANUKAnaCHAPO kuhusu zombie

Hivi unajua bila zombie kua na HIT SONGS nyingi mwaka 2023 BONGO wasingeamua kutafuta mdundo wa TAIFA

Sijui nataka kusema nini ila ni kama kuna kitu aliharibu kwenye hizo hit songs zake

account_circle
Rabbit(@Djrabbit255) 's Twitter Profile Photo

Hamna haja ya kwenda mbelee... turudi nyuma tu😀

Hii OYA MZEE ya MANENGO ni ngoma kali mnooo🔥🔥🔥

Hiyo intro ya JAIVAH🙌

Ila mpaka saizi sijui nani kaua😀

Dullah_theKing🇹🇿
SANUKAnaCHAPO

ofisho dijei

account_circle
Lwimo(@Seleman91124854) 's Twitter Profile Photo

Dhamira yangu imesimama imara. Sogea kwangu nikupe unayostahili kupewa, nitakupa hii Dunia na nitawafukuza wanadam wote tubaki wawili nikumilikishe Kila kitu mpaka ya Dullah_theKing🇹🇿 nitakupa wewe, Wengine huenda Dubai Vacation mie nitakupeleka Ibiza ukafrahie dunia

account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

JUMANNE ya kesho sisi kama tutasapoti BIASHARA za wanetu kama tatu hivi kwa kuzipost....

Maana kununua bado hatujajaaliwa kipato ila Acc za X tunazo 🤝🏽

👉🏽Saa 3 Asubuh
👉🏽Saa 7 Mchana
👉🏽Saa 9 Alasiri

TUWASAPOTI WANETU 🤝🏽🚶🏾‍♂️

account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

Wameniondoa kwenye group la wamiliki wa vyombo vya HABARI aisee....

Hawa watu wanakichukulia poa chombo changu aisee 😥

inaonewa sana

account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

Rapper Pekee anaefanya muziki akiwa TAIFA la kigeni na bado ngoma zake zinafanya vizuri nchini....

Wakati nakumbuka kuna Msanii mmoja hivi wa kuimba aliwahi kuhama toka Morogoro kisa tuu harakati za muziki 🤣

Oyaa MKATO kongole nyingi sana toka

account_circle