FESTO RICHARD SANGA(@festosangatz) 's Twitter Profile Photo

Mliopo maeneo karibu na Ufukwe -Dsm n.k vyema kuchukua tahadhari ya kuondoka.

Mungu tumekuomba na tunaendelea kuomba, tuepushe na madhara yoyote juu ya kimbunga hiki.

Mliopo maeneo karibu na Ufukwe -Dsm n.k vyema kuchukua tahadhari ya kuondoka.

Mungu tumekuomba na tunaendelea kuomba, tuepushe na madhara yoyote juu ya kimbunga hiki.
account_circle
Harry.(@HarryGodfirst) 's Twitter Profile Photo

📍KENYA🇰🇪
Ukiitazama hii video kule nyuma na kushoto magari yamesimama huenda wamechukua tahadhari.Hawa wenye mabasi ya umma kwa nini waendelee kuvusha watu😤.? JIBU👇

Hosea 4:6 ' Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa..'

*Watu wanaangamia kwa UJINGA na hata wasiohusika💔

account_circle
Deputy Government Spokesperson Mwanaisha Chidzuga(@M_Chidzuga) 's Twitter Profile Photo

CHUNGA MAISHA
Wakenya wenzangu..
-Mbona baadhi yetu tunakodolea kifo macho?...
-Mikasa ya kusombwa na maji na kufa maji jameni sio swala la kufanyia masihara..
-Kwa nini uvuke mto ulio furika ili hali una tambua fika hatari iliyopo?
-Tuweni waangalifu , chukua tahadhari familia…

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Tahadhari ya Kimbunga Hidaya:

Upepo mkali na Kimbunga Hidaya umeanza kupiga Pwani. Rais Ruto ametoa tahadhari

Taifa linatazamiwa kushuhudia Kimbunga Hidaya cha kwanza. Kimbunga Hidaya kimetoka Visiwa vya Comoros

Mashirima Kapombe

account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Serikali imezielekeza mamlaka za mikoa iliyotajwa kupitiwa na Kimbunga HIDAYA kuendelea kuchukua tahadhari na kutoa taarifa kuhusu mwenendo wa kimbunga hicho.

Taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetaja maeneo yatakayoathirika kuwa ni Mtwara, Lindi, Pwani…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Habari kubwa Leo Mei 3, 2024

⚫️Serikali yaahidi kuimarisha ulinzi na usalama kwa waandishi wa habari

⚫️Serikali yawataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya kimbunga Hidaya

⚫️Idadi ya watu waliofariki kutokana na mvua za El-Nino yafikia 161

account_circle
Diramakini 24(@Diramakini24) 's Twitter Profile Photo

Kimbunga Hidaya kimesogea zaidi huku TMA ikitoa tahadhari na ushauri

'Kwa usiku wa leo na siku ya kesho tarehe 4 Mei 2024, kimbunga Hidaya kinatarajiwa kusababisha matukio ya vipindi vya mvua kubwa na upepo mkali katika maeneo ya ukanda wa pwani hususan
diramakini.co.tz/2024/05/kimbun…

Police Force TZ(@tanpol) 's Twitter Profile Photo

Katika kipindi hiki ambacho mvua zinaendelea kunyesha Polisi kata ya Ruvu stesheni, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Sheila Msami amewataka wanafunzi kuchukua tahadhari kwa kutokucheza pembezoni mwa mito na madimbwi ya maji kwani ni hatari kwa usalama wao.

Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

TAHADHARI: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa Kimbunga 'HIDAYA' ambapo kinasafiri katika eneo la Bahari kikiwa na mgandamizo wa hewa wa kiasi cha 981hPa na kasi ya upepo unaofika kilomita 130 kwa saa

TMA imesema matarajio ni kwamba…

Nipashe Tanzania(@Nipashetz) 's Twitter Profile Photo

(𝐈𝐦𝐞𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐰𝐚 𝐍𝐚 𝐌𝐰𝐚𝐧𝐝𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐖𝐞𝐭𝐮, 𝐃𝐎𝐃𝐎𝐌𝐀)
Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari kubwa na kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa za utabiri na tahadhari kutoka mamlaka ya hali ya hewa Nchini Tanzania (TMA) pamoja na kupata ushauri wa kina na…

Tanzania Leaks(@TanzaniaLeaks) 's Twitter Profile Photo

Mawaziri, Makatibu wakuu, wakuu wa mikoa na wilaya, mwezi wa tano siyo mwezi salama kwenu. Dira yangu inanionyesha mambo siyo mazuri kabisa. Mamlaka imekereka na mambo mengi sana. Kaeni kwa tahadhari. Huu mwezi siyo mzuri, mkeka unakuja.

EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Tundu Lissu ameeleza kuwa kuna umwagaji wa fedha katika chaguzi zinazoendellea ndani ya Chama hicho huku akiitoa tahadhari kwa wanachama kujiepusha na masuala ya rushwa

Kupitia mtangazaji Exaud Msaka Habari 📸🎤⚽️ amesema kauli hiyo…

account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwezekano mkubwa wa kimbunga ‘HIDAYA’ kusogea karibu na Pwani ya Tanzania kuanzia usiku wa leo Mei 02, 2024 hadi Mei 06, 2024 na kusababisha vipindi vya mvua kubwa na upepo mkali katika baadhi ya maeneo.

Maeneo…