Exaud Msaka Habari 📸🎤⚽️(@exaudwamtei) 's Twitter Profileg
Exaud Msaka Habari 📸🎤⚽️

@exaudwamtei

https://t.co/AvZ7SCeoTO…

ID:823354555

linkhttp://www.habari24.blogsport.com calendar_today14-09-2012 14:01:17

7,7K Tweets

3,0K Followers

269 Following

EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Wakati chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania wakihamasishana kuchanga fedha kwa ajili ya kununua gari jipya la Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu, umeibuka mjadala kwenye

@Kissadaniel2 anasema nguvu ya kuhamasisha kununua gari itumike pia

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Barikiel Yusuph mkazi wa Mabibo Dar es salaam ameweka mtazamo wake kuhusu mchango wa kununua gari la Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Tundu Lissu. ameeleza sababu zake za kwanini hakuna tatizo kufanya hivyo

Unaonaje mawazo yake ?

Cc Exaud Msaka Habari 📸🎤⚽️ kissa_daniel

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Matukio ya vijana kujiua kwa sababu mbalimbali ikiwemo msongo wa mawazo yameendelea kuripotiwa nchini, Tuambie wewe unatumia njia gani kujiepusha na msongo wa mawazo ?

Karibu kwenye ya maoni yako yatasomwa LIVE

Cc Exaud Msaka Habari 📸🎤⚽️

#LENZI Matukio ya vijana kujiua kwa sababu mbalimbali ikiwemo msongo wa mawazo yameendelea kuripotiwa nchini, Tuambie wewe unatumia njia gani kujiepusha na msongo wa mawazo ? Karibu kwenye #SupaBreakfast ya #EastAfricaRadio maoni yako yatasomwa LIVE Cc @exaudwamtei
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: ''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' -

#SUPABREAKFAST: ''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' -
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'Ili mahakama iweze kutoa talaka zipo sababu ikiwemo kuithibitishia mahakama kwamba hii ndoa imevunjika kiasi kwamba haiwezi kurekebishika na viashiria vya kuonesha ndoa hii haiwezi kurekebishika ni hadi ionekane kulikuwepo kwa ukatili wa kupitiliza kwa mume kumpiga mke ama mke

: ''Mimi siyo niliyevunja ndoa, Ni mwenzangu kwa sababu pia anaamuliwa hata issue ya talaka pia haikuwa maamuzi yake; ni Mama amesema, Mama amesema mnajikuta tu mmefikia huko'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke futa machozi

#SUPABREAKFAST: ''Mimi siyo niliyevunja ndoa, Ni mwenzangu kwa sababu pia anaamuliwa hata issue ya talaka pia haikuwa maamuzi yake; ni Mama amesema, Mama amesema mnajikuta tu mmefikia huko'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke futa machozi #EastAfricaRadio #HainaKuchoka
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'Ikithibitishwa kwamba huyu mwenzangu ana tabia ya kuwa na mahusiano nje ya ndoa (kuchepuka) na iwe hali ya kujirudia rudia zaidi ya mara moja, ushahidi ukionesha kwamba huyu mtu kachepuka mara moja na amejikanya ina maana kwa kigezo hicho peke yake mahakama haiwezi kutoa

: ''Maswala ya ndoa hayana utaalamu, kukaa kwenye ndoa miaka 10 siyo kigezo cha kuto kuachana, inategemea mpaka mmefikia hapo shida ni nini'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke futa machozi

#SUPABREAKFAST: ''Maswala ya ndoa hayana utaalamu, kukaa kwenye ndoa miaka 10 siyo kigezo cha kuto kuachana, inategemea mpaka mmefikia hapo shida ni nini'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke futa machozi #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #SupaBreakFast #KunaKitu
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Ukitelekezwa kwa muda wa miaka miwili unaweza kwenda kudai talaka lakini pia mitindo tofauti ya maisha inatajwa kuchangia mume au mke kudai talaka

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'Mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue,' - Editha Emmanuel, Mratibu

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.

Taarifa hiyo inaeleza kuwa mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kitaendelea kusalia katika Bahari ya Hindi katika

#HABARI Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Taarifa hiyo inaeleza kuwa mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kitaendelea kusalia katika Bahari ya Hindi katika
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Mbunge Dkt. Thea Ntara ameutaja mkoa wa Morogoro na wilaya zake kama kinara wa matukio ya ulawiti kwa watoto ukifuatiwa na mkoa wa Dar es salaam pamoja na wilaya zake zote

Akiwa Bungeni jijini Dodoma leo Mei 17, 2024 Dkt. Ntara amesema uwepo wa mafuriko na maporomoko ya

#BUNGENI Mbunge Dkt. Thea Ntara ameutaja mkoa wa Morogoro na wilaya zake kama kinara wa matukio ya ulawiti kwa watoto ukifuatiwa na mkoa wa Dar es salaam pamoja na wilaya zake zote Akiwa Bungeni jijini Dodoma leo Mei 17, 2024 Dkt. Ntara amesema uwepo wa mafuriko na maporomoko ya
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Nyumba moja yenye vyumba 12 katika mtaa wa Kiusa mjini Moshi imeteketea kwa moto alfajiri ya leo Mei 17, 2023 huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijulikani.

Shuhuda wa tukio hilo Glory Charles amesema alikuwa amelala katika mojawapo ya chumba na kusikia cheche za moto

#HABARI Nyumba moja yenye vyumba 12 katika mtaa wa Kiusa mjini Moshi imeteketea kwa moto alfajiri ya leo Mei 17, 2023 huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijulikani. Shuhuda wa tukio hilo Glory Charles amesema alikuwa amelala katika mojawapo ya chumba na kusikia cheche za moto
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'Mwanamke naye, kama yupo nyumbani maana yake na yeye ana kazi, unakuta umefuliwa nguo, chakula na watoto wapo safi, tena wale ndiyo wana kazi kweli kweli, mke wako akisafiri hata wiki moja tu, huwezi ukajua hata kijiko kipo wapi' - Philip Mushi, Mkurugenzi

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Kule Iringa watoto 17 wa kiume walibakwa mtaa mmoja kule Iringa, mimi nikaenda kufanya mkutano na wanaume na wanawake, wanaume wakaniambia tukienda dawati la jinsia, tukienda dawati la jinsia hatusikilizwi tunawekwa tu ndani wanaosikilizwa ni wanawakendio maana tunawaacha

'Kule Iringa watoto 17 wa kiume walibakwa mtaa mmoja kule Iringa, mimi nikaenda kufanya mkutano na wanaume na wanawake, wanaume wakaniambia tukienda dawati la jinsia, tukienda dawati la jinsia hatusikilizwi tunawekwa tu ndani wanaosikilizwa ni wanawakendio maana tunawaacha
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: “Hakikisha unapotaka kuandika barua ya kuomba kazi unaandika kifupi siyo lazima uanze kujielezea sijui mimi ni fulani kijana wa kiume sijui nimezaliwa mwaka fulani naishi sehemu fulani, nina akili timamu, mara ooh ni kijana mpole, nilizaliwa sijui wapi, unazunguka

#DriveShow: “Hakikisha unapotaka kuandika barua ya kuomba kazi unaandika kifupi siyo lazima uanze kujielezea sijui mimi ni fulani kijana wa kiume sijui nimezaliwa mwaka fulani naishi sehemu fulani, nina akili timamu, mara ooh ni kijana mpole, nilizaliwa sijui wapi, unazunguka
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: “Side mirror ni muhimu sana na msizitoe bila sababu, nikikukuta barabarani huna side mirror lazima nikutoze faini, kuanzia kwenye pikipiki au hata gari ni muhimu sana lazima nikugonge faini ukiwa umezitoa” – Afande Mwita ndani ya Drive Show ya East Africa Radio.

#DriveShow: “Side mirror ni muhimu sana na msizitoe bila sababu, nikikukuta barabarani huna side mirror lazima nikutoze faini, kuanzia kwenye pikipiki au hata gari ni muhimu sana lazima nikugonge faini ukiwa umezitoa” – Afande Mwita ndani ya Drive Show ya East Africa Radio.
account_circle