Faidha(@faidha_kambwili) 's Twitter Profile Photo

Mobilizing community on COVID-19 vaccination.. What the video to hear the question asked on effectiveness of the vaccine, What's your comment on this question? Get vaccinated and stay safe.

African Union Bingwa Initiative CDC Tanzania Africa CDC Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Tanzania imepiga hatua kubwa sana katika utoaji wa Chanjo ya UVIKO-19 ambapo 52% ya watu wamepata chanjo hii. Tunaipongeza Serikali, Washirika wa Chanjo, Watoa Chanjo, Wahamasishaji.

Dkt. Boniface Makelemo - WHO

#UjanjaKuchanja #JikingeNaUVIKO19
account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Usisikilize story za vijiweni juu ya chanjo ya UVIKO 19, wataalam wa afya ndio watu sahihi watakueleza faida za kupata chanjo hiii ambayo ni bure kabisa.
Songwe imeitikia.

account_circle
TAYOBECO Tanzania(@tayobeco) 's Twitter Profile Photo

Umuhimu wa Elimu ya uchanjaji wa chanjo ya UVIKO19 inaendelea hapa Mpanda na jamii imepata uelewa mkubwa na wako tayari kuchanjwa ili kujilinda na ugonjwa huu

Umuhimu wa Elimu ya uchanjaji wa chanjo ya UVIKO19 inaendelea hapa Mpanda na jamii imepata uelewa mkubwa na wako tayari kuchanjwa ili kujilinda na ugonjwa huu #UjanjaKuchanja #JikingeNaUVIKO19
account_circle
TAYOBECO Tanzania(@tayobeco) 's Twitter Profile Photo

Mapambano ya UVIKO19 duniani ni ya kila mmoja na sisi kama wahisani tuendelea kuwezesha upatikanaji wa chanjo ili kila mtanzania apate chanjo na elimu ya uelewa juu ya umuhimu wa chanjo

Mapambano ya UVIKO19 duniani ni ya kila mmoja na sisi kama wahisani tuendelea kuwezesha upatikanaji wa chanjo ili kila mtanzania apate chanjo na elimu ya uelewa juu ya umuhimu wa chanjo
#UjanjaKuchanja #JikingeNaUVIKO19
account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Chanjo ya KORONA ni salama, Imejaribiwa kupitia tafiti mbalimbali za Kisayansi na Imethibitishwa na Shirika la Afya Duniani na Kuidhinishwa na Wizara ya Afya Kupitia Mamlaka ya Tiba na Vifaa Tiba (TMDA)

account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Katika kuhakikisha chanjo ya UVIKO 19 inawafikia watanzania wengi zaidi bila kujalisha wapi walipo, wataalam wa afya wanapita mtaa kwa mtaa kutoa elimu juu ya faida ya kupata chanjo hio.

Korona ipo usichukulie poa.

account_circle