Karibu sana #ElimikaWikiendi
Leo nimewaandalia mada mujarabu juu ya 'Umuhimu wa kukutana na wanasaikolojia ili kupata ushauri juu ya #AfyaYaAkili
Mjue mhudumu wako wa afya ya akili.
Je, Kinya ni nani?
Una mchango gani katika kuboresha afya yako ya akili?
youtu.be/FYbCcUnZH98?siβ¦
#afyayaakili
Dr. Paul S Lawala akizungumza Leo katika kipindi Cha Clouds 360 juu ya maswala Mbalimbali kuhusu #AfyaYaAkili Kwa jamii.
#AfyaYaAkili NiMtaji
#HakunaAfyaBilaAfyaYaAkili
Tujitahidi kutafuta msaada pale tunapokuwa na matatizo ya afya ya Akili ili kuweza kukabiliana nayo.
#afyayaakili
#MentalHealthMatters
Kampeni ya afya ya Akili π₯π₯π₯
Karibu kujifunza maana ya afya ya Akili .
Tukiwa na Imani kubwa kuwa hakuna afya bila afya ya akili.
Ndio maana unapokuwa hauko Sawa kiakili basi hata utendaji wako wa kazi unapungua
Tunza afya yako ya akili ikutunze π
#afyayaakili
Washindi wetu Katika mashindano ya kuandika Insha na kuchora picha kuhusu Kuzuia kujiua.
#afyayaakili
#MentalHealthMatters
Tunajivunia wewe / We are proud of you.
#afyayaakili
#MentalHealthMatters
#SuicideAwareness
#SuicidePreventionAwarenessMonth
WORLD MENTAL HEALTH DAY // SIKU YA AFYA YA AKILI, OKT 10
Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa tarehe 10 Oktoba kila mwaka, kwa lengo la kuongeza uelewa na kuchagiza mazungumzo kuhusu masuala ya afya ya akili.
#MentalHealthDay #AfyaYaAkili #PumzishaBichwaHilo
Kuimarisha Ustahimilivu wa Hisia:
Msaada wa kisaikolojia wa mara kwa mara husaidia kujenga ustahimilivu au uvumilivu wa hisia, kuwawezesha watu kuondokana na changamoto na kuzoea mabadiliko kwa urahisi zaidi.
#ElimikaWikiendi | #AfyaYaAkili
Kampeni ya afya ya Akili π₯π₯π₯
Karibu kujifunza maana ya afya ya Akili .
Tukiwa na Imani kubwa kuwa hakuna afya bila afya ya akili.
Ndio maana unapokuwa hauko Sawa kiakili basi hata utendaji wako wa kazi unapungua
Tunza afya yako ya akili ikutunze π
#afyayaakili
Tunza afya yako ya akili ,
β’ Kujijali
β’ Kuweka mipaka na kuweza kusema hapana
β’ Kushiriki Katika shughuli zinazokuletea furaha
β’ Kufatuta namna nzuri ya kukabiliana na changamoto
β’ Kutafuta msaada
#afyayaakili
#mentalhealth
#MentalHealthMatters
Usikubali mwingine ajiue Wala wewe usijiue, uonapo viashiria vya namna hii Kwa mtu ambaye hujazoea kuviona msaidie haraka sana, ukiviona kwako pia jitahidi kuomba ushauri
KAZI iendelee
#kataakitanzichallenge
#suicidepreventioweek
#afyayaakili
Tujifunze kupunguza matarajio makubwa ili kuepuka matatizo ya afya ya Akili.
#afyayaakili
#mentalhealth
#MentalHealthMatters
Mei Kila mwaka hutumika katika kuadhimisha utoaji wa Elimu juu ya #AfyaYaAkili .
Katika kuadhimisha Hilo Taasisi ya Vanessa Amada Foundation inatarajia kuadhimisha Kwa kutoa Elimu ya #AfyaYaAkili Kwa shule za Sekondari na Vyuo katika Mkoa wa Dodoma.
#MentalHealthAwarenessMonth
At the #youthsummit adolescent mental health #afyayaakili #mindskillz #bonganaone2one Grassroot Soccer SA LVCT Health one2one Recruitment #SportsForGood
Timu ya Vanessa Amada Foundation Leo imeshiriki katika mkutano wa kwanza kabisa wa Maswala ya Akili Bandia #AI Kwa Maendeleo ya Bara la Africa uliofanyika Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Arusha, Tanzania.
#AI inaweza kutumia katika matibabu na kutoa Elimu ya #AfyaYaAkili katika jamii.
Haijalishi maisha yanatupa changamoto gani, tunaweza kubaki imara ikiwa tunayo tumaini kwa Mungu na Neno lake.
#AfyaYaAkili #Elimikawikiendi