Vodacom Tanzania(@VodacomTanzania) 's Twitter Profile Photo

Smart Kitochi Plus ina ofa kabambe kwako mteja wa Mtandao Supa ambapo utafurahia GB 24, SMS 3000, Dakika 600 kwa muda wa miezi 6.

Tembelea duka lolote la Vodacom lililo karibu yako uweze kujipatia yako kwa Tsh 60,000 tu.

Smart Kitochi Plus ina ofa kabambe kwako mteja wa Mtandao Supa ambapo utafurahia GB 24, SMS 3000, Dakika 600 kwa muda wa miezi 6. 

Tembelea duka lolote la Vodacom lililo karibu yako uweze kujipatia yako kwa Tsh 60,000 tu. #PamojaTunaweza #ZaidiYaMtandao
account_circle
Vodacom Tanzania(@VodacomTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kwanini upitwe?

Furahia vifurushi bomba vya intaneti kutoka Mtandao Supa, vifurushi vya siku,wiki au mwezi.

Piga *149*01# > Internet

Kwanini upitwe?
 
Furahia vifurushi bomba vya intaneti kutoka Mtandao Supa, vifurushi vya siku,wiki au  mwezi.
 
Piga *149*01# > Internet

#PamojaTunaweza
#ZaidiyaMtandao
account_circle
Vodacom Tanzania(@VodacomTanzania) 's Twitter Profile Photo

Tumekuletea Vocha za bure kabisa!

Kuwa wa kwanza kuingiza namba hizi ujishindie vocha ya Tshs 3000 papo hapo!

Endelea kufuatilia kurasa zetu kufurahia zawadi za vocha kila wiki!

Tumekuletea Vocha za bure kabisa!

Kuwa wa kwanza kuingiza namba hizi ujishindie vocha ya Tshs 3000 papo hapo!

Endelea kufuatilia kurasa zetu kufurahia zawadi za vocha kila wiki!

#PamojaTunaweza #ZaidiyaMtandao
account_circle
Vodacom Tanzania(@VodacomTanzania) 's Twitter Profile Photo

Tumekuletea Vocha za bure kabisa!

Mchongo ni huu:

✅Watag marafiki zako wasikose zawadi hii nono kutoka Mtandao Supa.

✅Fuatilia kurasa zetu uwe wa kwanza kuona vocha hii inapotolewa.

✅Kuwa wakwanza kuingiza vocha hii kwenye simu.

✅Jishindie vocha!

SPiN DOCTOR(@FMahiyadi) 's Twitter Profile Photo

Je unafahamu kuwa Ukiwa mteja mpya wa Vodacom Tanzania utaweza kutuma pesa hadi Tsh 50,000 bila Tozo wala ada ya M-Pesa na kutoa hadi Tsh 50,000 kwa wakala bila Tozo. Jiunge na mtandao supa ulioonea nchi nzima.

account_circle
Kimuu DJ.(@kingkim711) 's Twitter Profile Photo

Aisee sikujua kuwa ukinunua bando Kwa M-PESA unarudishiwa Hadi 15% ya pesa yako Hadi nilipopata hili zali la mentali😂
Na kingine kizuri kabisa hakuna TOZO za ziada ukitumia M-PESA
Mwisho kabisa huu ndo mtandao supa kabisa Tanzania
Vodacom Tanzania #PamojaTunaweza#ZaidiYaMtandao

account_circle
Vodacom Tanzania(@VodacomTanzania) 's Twitter Profile Photo

Jiunge nasi kesho kwenye kurasa zetu za Facebook, Instagram na Tiktok upate nafasi ya kujishindia zawadi safiii! 

Watag marafiki zako wasikose zawadi nono kutoka Mtandao Supa

Usiseme hatukukwambia.

account_circle
Getrude Shussa(@getrudeshussa) 's Twitter Profile Photo

Wajanja wote wanatumia mtandao wa Vodacom huu ni unafurahia GB za kuzidi sana na kasi ya intanet ya 5G ambayo imeenea nchi nzima ambapo utaperuzi vile unavyotaka.

Utaongea na wapendwa wako bila mawazo kwakuwa kuna vifurushi vya bei nafuu kabisaa (ya kwako tu)

account_circle
Mwandu Msendo(@mwandumsendo) 's Twitter Profile Photo

Jiunge na Mtandao wa kasi ya 5G uliyoenea nchi nzima (bara na visiwani), pata Vifurushi vya bei nafuu vinavyoendana na matumizi yako, Rudishiwa 15% unaponunua bando kupitia M-Pesa, Furahia miamala bila TOZO kwa viwango chini ya Tsh 50,000.

account_circle
m.s.a.k.i †(@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio Vodacom Tanzania Mtandao wa kasi ya 5G uliyoenea nchi nzima. Utapata vifurushi ya bei nafuu vilinavyoendana na matumizi yako. 🔥

Rudishiwa 15% unaponunua bando kupitia M-Pesa. Furahia miamala bila TOZO kwa viwango chini ya Tsh 50,000

account_circle
Brazatall_tz(@Amon_Deus) 's Twitter Profile Photo

Unasubili nini..? Hakika hii sio ya kukosa kutoka mtandao Supa Tanzania Vodacom Tanzania ni Unaweza kuongea na Ndugu, jamaa na Marafiki kwa vifurushi vya Dakika za bei nafuu (Yakwako tu)

Kubwa kuliko unapo nunua kwa Mpesa Unarudishiwa 15% ya gharama la bando.

account_circle
Dheeyah(@ethiopian_qalb) 's Twitter Profile Photo

Ni wikiend hii mtumie pesa mtu umpendae kupitia M-pesa bila tozo Kisha unga bando ili uweze kuperuzi intanenti yenye Kasi ya 5G.

Washauri marafiki zako wajiunge na Vodacom Tanzania ili watume pesa mpaka Tsh.50,000/= bila tozo Wala ada ya M-pesa

account_circle
Ally Namyundu(@allynamyundu) 's Twitter Profile Photo

Hakuna TOZO, pokea na tuma pesa bila MAKATO ya ziada kupitia mtandao supa wa Vodacom Tanzania pia pata 15% ukiongeza salio kupitia Mpesa. Piga *150*00# halafu fata maelekezo.
Endelea kufurahia Kasi ya 5G ya vodacom iliyoenea zaidi Tanzania nzima

account_circle