Branding Tanzania 🇹🇿(@tzbranding) 's Twitter Profileg
Branding Tanzania 🇹🇿

@tzbranding

A lifetime initiative established with a purpose to profile positive legacy & create compelling brand image on all aspects of 🇹🇿. #ProudlyTanzanian

ID:1083193584424284161

linkhttp://branding.tz calendar_today10-01-2019 02:47:30

19,4K Tweets

15,6K Followers

2,5K Following

mbelwa Kairuki(@MbelwaK) 's Twitter Profile Photo

Thank you Naomi Mwasambili for the inspiring presentation at the 2nd Generation Diaspora Youth Talk. Congratulations for your achievements

account_circle
EU in Tanzania(@EUinTZ) 's Twitter Profile Photo

🇪🇺 Ambassadors joined the launch of the USEMINI project promoting Sustainable Forest Management and Renewable Energy. This project, implemented by Helvetas, is part of the TZS 83 billion EU-funded Integrated Approach to Sustainable Cooking Solutions Program.

#TeamEurope 🇪🇺 Ambassadors joined the launch of the USEMINI project promoting Sustainable Forest Management and Renewable Energy. This project, implemented by @Helvetas, is part of the TZS 83 billion EU-funded Integrated Approach to Sustainable Cooking Solutions Program.
account_circle
BAWA AFRICA(@BawaAfrika) 's Twitter Profile Photo

“It takes my breath away. Sophie Darlington, one of the directors of photography takes us to Tanzania’s awe-inspiring Ngorongoro Crater, which holds a special significance for her. Queens is now streaming on Disney Plus. National Geographic National GeographicPhotos National GeographicTravel National GeographicPR

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mawaziri wa Kenya Musalia Mudavadi mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 29 Aprili, 2024

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA katika ukumbi wa Mikutano wa (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kenya Mhe. Dkt. William Ruto alipowasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi, Kenya tarehe 29 Aprili, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika

Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

Serikali imetoa misamaha ya kodi changamkieni fursa sekta ya Utalii na Michezo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini Tanzania TIC Bwana Gilead Teri amesema serikali imetoa msahama wa ushuru kwa asilimia Mia moja kwa bidhaa nyingi na malighafi kwa wanaohitaji…

account_circle
Ambassador Michael Battle(@USAmbTanzania) 's Twitter Profile Photo

As always, a very productive and enjoyable engagement with the Honorable Foreign Minister January Makamba today. We discussed strengthening our great partnership based on shared values and a common interest in expanding our trade and investment ties towards an inclusive and prosperous…

As always, a very productive and enjoyable engagement with the Honorable Foreign Minister @JMakamba today. We discussed strengthening our great partnership based on shared values and a common interest in expanding our trade and investment ties towards an inclusive and prosperous…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), ameshiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki mkutano huo wenye lengo la kuanisha vipaumbele vya nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye…

Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), ameshiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki mkutano huo wenye lengo la kuanisha vipaumbele vya nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye…
account_circle
TANZANIA HIGH COMMISSION IN NAMIBIA(@UbaloziNamibia) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 11/4/2024 Mhe. Caesar C. Waitara amekutana na Uongozi wa Shirika la Uvuvi la Namibia kwa lengo la kujadiliana masuala ya ushirikiano kati ya Shirika hilo na Shirika la Uvuvi la Tanzania hususan katika kubadilishana uzoefu, ujuzi pamoja na uwekezaji.