Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)(@AliKimara) 's Twitter Profileg
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)

@AliKimara

Our purpose is to raise awareness and advocate for the consideration and inclusion of children living with the rare diseases in health and education systems.

ID:3556485735

calendar_today05-09-2015 15:03:32

1,0K Tweets

1,1K Followers

244 Following

Togolani Mavura(@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha University of Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian na ujumbe wake, wamekutana na watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walioko masomoni nchini Korea katika Ubalozi wa Tanzania Embassy, Korea ( 주한탄자니아대사관) jana.

Ubalozi ulifarijika kuwaunganisha na kuwa sehemu ya mkutano

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha @UdsmOfficial, Prof. Bernadeta Killian na ujumbe wake, wamekutana na watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walioko masomoni nchini Korea katika Ubalozi wa @TanzaniaInKorea jana. Ubalozi ulifarijika kuwaunganisha na kuwa sehemu ya mkutano
account_circle
Sharifa 🇹🇿(@sharifambarak1) 's Twitter Profile Photo

Kwa waathirika wa na familia zao, hii ni siku adhimu. Kumbukeni, mmepata majaribu haya, lakini hamkujichagulia, mmechaguliwa. Mmekuwa mashujaa katika safari hii. Nawaombea wale wote walioondokewa na wapendwa wao kutokana na magonjwa adimu.

account_circle
Tanzania Human Genetics Organization(@humangeneticstz) 's Twitter Profile Photo

Tunaendelea kutoa elimu juu ya

'Sisi kama ulimwengu, tunaona ni adimu, lakini kwa wanafamilia wenye mtoto mwenye ugonjwa adimu, wanaona ni ulimwengu mzima uko pale .....' Prof. Manji, MUHAS.

Tazama zaidi: youtu.be/Xgakm6jd4gM?si…

account_circle
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)(@AliKimara) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya AKRDF & MUHAS Muhimbili University tumeungana kuadhimisha Siku ya Magonjwa Adimu tarehe 29 Februari, saa 1 jioni. Taa za matumaini ziliwaka katika jengo la MUHAS, ikiwa ni ishara ya dhamira yetu ya kuendelea kushirikiana kuleta mwangaza kwenye utafiti wa magonjwa adimu.

account_circle
Togolani Mavura(@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Ali Kimara, mtoto anayeishi na kwa kunifundisha somo la matumaini. Sababu ya Ali nilijiunga na harakati za kupigania maslahi ya wanaoishi na magonjwa adimu kupitia taasisi ya Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF).

Leo tunapoadhimisha tunajivunia pamoja na Ali

Namshukuru Ali Kimara, mtoto anayeishi na #UgonjwaAdimu kwa kunifundisha somo la matumaini. Sababu ya Ali nilijiunga na harakati za kupigania maslahi ya wanaoishi na magonjwa adimu kupitia taasisi ya @AliKimara. Leo tunapoadhimisha #RareDiseaseDay2024 tunajivunia pamoja na Ali
account_circle
Raphael Mallaba 🇨🇳🇹🇿🇬🇧(@MallabaOfficial) 's Twitter Profile Photo

This calls for an urgent need to utilise different platforms and forums such as the commemoration of rare diseases day to engage different stakeholders including the government to raise awareness. 2023

account_circle
Raphael Mallaba 🇨🇳🇹🇿🇬🇧(@MallabaOfficial) 's Twitter Profile Photo

In order to improve the quality of lives of children/individuals with in Tanzania, increased public awareness and engagement are urgently needed together with appropriate policies, and treatment and supportive care systems.

account_circle
Raphael Mallaba 🇨🇳🇹🇿🇬🇧(@MallabaOfficial) 's Twitter Profile Photo

In Tanzania, management and care of patients with result in unbearable financial burden particularly to the families and close relatives. It has been noted that the health insurance schemes currently operating in Tanzania do not or partially support patients with RDs

account_circle
Raphael Mallaba 🇨🇳🇹🇿🇬🇧(@MallabaOfficial) 's Twitter Profile Photo

Currently, there are no established therapies for most of the RDs in Tanzania and for those with treatment, it is normally obtained from other countries, and it is generally expensive and out of reach for many patients. Rare Disease Day

account_circle
Tanzania Human Genetics Organization(@humangeneticstz) 's Twitter Profile Photo

In the first picture from lef are Ms. Arafa Said of SCPCT, Ms. Fidelis Usio of Epilepsy organization of Tanzania, Dr. Daima Bukini, en expert of ELSI and Ms. Hajrrath Mohammed of Lupus Awareness and Support Foundation (LASF)

account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Kongole na asante ziwafikie wadau wote mliotenga muda wenu kwa ajili ya kushiriki ya leo kikamilifu.

Tunakutakia wikiendi mujarabu wewe na familia yako!

Kongole na asante ziwafikie wadau wote mliotenga muda wenu kwa ajili ya kushiriki #ElimikaWikiendi ya leo kikamilifu. Tunakutakia wikiendi mujarabu wewe na familia yako!
account_circle