Mapigo
@MapgoTz
Hip Hop artist.
Song Writer.
Entrepreneur.
view $ subscribe my YouTube channel link hpo chin.
ID:1445090957213458432
https://youtube.com/channel/UCVd1kp39CmLE1c2K2NbXpxA 04-10-2021 18:18:46
3,0K Tweets
2,1K Followers
2,2K Following
Lubasha Jr Ndio anafunza wenzie (Saving) wakti wa baadae
Pia anawakomaza wenzake (kuwanyima )wawe wavumilivu
Istoshe anaonesha Ego yake kwa kumudu nyakati
Nzuri zaidi anakuwa Bepari akiwa bado mdogo Ujamaa ameukataa
Ili kuwakomesha afanye kama anasukutua hivi kuwatia wenge wenzie
Latto ๐ ๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ #GWIJI๐ด Zee la Vyeti (PhD) Jayleen ๐ Miss Chelsea1221 Kabigwa_Afya๐ KAPETO๐น๐ฟ Huyu anaakili za kutafuta hela kutokana na machungu ya Sarah... Trust me tafuta kitu kinacho kuumiza,, Kipe kipaumbele katika utafutaji mchungu..
Mbinu za utafutaji hazito isha kamwe... Tumia njia hii kijana.
Mama Samia Suluhu naomba utusapoti kwenye kanisa letu tuliloanzisha jipya waumini wapate hata Viti vya kukalia.
Tunaomba.
Viti 70
Speaker kubwa 02
Microphone 03
Ngoma 03
Na kitita cha milion 02
Tunaamini utatusaidia mama tuiombee nchi na viongozi wake.
Ubarikiwe, Karibu.๐