TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

'If a child is the perpetrator of a sexual offense, the case should not take more than 6 months. If it is an adult who has molested a child, the case should not take more than 2 years,'- Levis Kagiri, Legal Officer Pendekezo Letu

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

'When you see a boy living on the streets society does not put in emergency rescue measures to take the boy because it is viewed as normal,'- Levis Kagiri, Legal Officer Pendekezo Letu

account_circle
SHEDRACK BARIGE,SHABIKI WA ARSENAL 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿(@BarigeHonorath) 's Twitter Profile Photo

inter ceo marotta: 'nina uhakika bastoni atakubali pendekezo letu la kuongeza mkataba, nina uhakika wa kufikia makubaliano', aliambia milano wiki ya soka. 🔵🇮🇹

'dzeko nje ya mkataba mnamo juni? inabidi tuamue pamoja na edin kuhusu mustakabali wake.

Taifa la Wote(@JamaicaAdamz) 's Twitter Profile Photo

'Pendekezo letu, Bima ya Afya kwa Wote iunganishwe na Hifadhi ya Jamii. Tunataka Watanzania wote wahudumiwe kwa usawa. (Walipie kadiri ya uwezo wao, na watibiwe kadiri ya mahitaji yao.)'

Waziri Mkuu Kivuli
Dorothy Semu

JamaicaAdamz

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

'We want police officers who are specially trained to record statements from children, collect evidence in sexual offenses,'- Levis Kagiri, Legal Officer Pendekezo Letu

account_circle
Ntakije iddy Mayeye ntanena(@IddyNtanena) 's Twitter Profile Photo

April 2019 Bungeni

Kabla ya kutungwa kwa sheria ya Plea Bargaining. Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
alihoji uhalali wa kisheria wa DPP kukamata watu na kisha kuwaachia baada ya kuwalipisha pesa.

Pendekezo letu iundwe Tume ya Kijaji.

account_circle
shangwe Ayo(@ayo_shangwe) 's Twitter Profile Photo

April 2019 Bungeni

Kabla ya kutungwa kwa sheria ya Plea Bargaining. Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
alihoji uhalali wa kisheria wa DPP kukamata watu na kisha kuwaachia baada ya kuwalipisha pesa.

Pendekezo letu iundwe Tume ya Kijaji.

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

'Kifungu cha 5(1) cha Muswada wa Tume ya Uchaguzi inasema Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wataeuliwa na Rais, unapozungumzia Uhuru wa Tume unaanzia kwenye appointment wanaopatikana namna gani, huu ni udhaifu ambao upo, pendekezo letu ambalo tunalizungumza ni kwamba lazima

Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

'Pendekezo letu, Bima ya Afya kwa Wote iunganishwe na Hifadhi ya Jamii. Tunataka Watanzania wote wahudumiwe kwa usawa. (Walipie kadiri ya uwezo wao, na watibiwe kadiri ya mahitaji yao.)'

Waziri Mkuu Kivuli
Dorothy Semu

account_circle
HakiRasilimali(@HakiRasilimali) 's Twitter Profile Photo

'Pendekezo letu ni uwepo wa mifuko michache yenye nguvu na inayoweza kuleta tija kwa wananchi.'

-Oswald Karadisi, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi

Undugu Society of Kenya(@undugu_kenya) 's Twitter Profile Photo

Boys affected by sexual violence need better
support and services to help them recover, boys who are victims of sexual exploitation are not alone. Let's raise our voices, raise awareness, and offer a helping hand.
GVRC Kenya
acsainigeria
PENDEKEZO LETU

Boys affected by sexual violence need better
support and services to help them recover, boys who are victims of sexual exploitation are not alone. Let's raise our voices, raise awareness, and offer a helping hand.
@Gvrckenya 
@acsainigeria 
@Pendekezo_Letu 
#BlueUmbrellaDay
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

'Tumeona na kusikia malalamiko ya wananchi wa Mbarali, wananchi wa Ngorongoro, wananchi wa Kagerankanda na Kalelani kule Kigoma na uvamizi mkubwa wa mifugo wilaya za Kilwa, Nachingwea, Tunduru na Liwale, tunarudia pendekezo letu la kuitaka serikali kufanyia kazi suala hili kwa

'Tumeona na kusikia malalamiko ya wananchi wa Mbarali, wananchi wa Ngorongoro, wananchi wa Kagerankanda na Kalelani kule Kigoma na uvamizi mkubwa wa mifugo wilaya za Kilwa, Nachingwea, Tunduru na Liwale, tunarudia pendekezo letu la kuitaka serikali kufanyia kazi suala hili kwa
account_circle
Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

17/8/2023 Waziri Kivuli wa Nishati, Ndg @Isihakamchinji1 aliendelea kupendekeza Serikali iachane na matumizi ya mafuta kwenye magari yake na mabasi ya mikoani ili kupunguza utegemezi wa bidhaa hiyo. Leo Waziri wa Nishati amechukua pendekezo letu.

account_circle
Selemani Misango(@SelemaniMisango) 's Twitter Profile Photo

'Pendekezo letu, Bima ya Afya kwa Wote iunganishwe na Hifadhi ya Jamii. Tunataka Watanzania wote wahudumiwe kwa usawa. (Walipie kadiri ya uwezo wao, na watibiwe kadiri ya mahitaji yao.)'

Waziri Mkuu Kivuli
Dorothy Semu

account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

◾Kwa kuwa kuna miongozo ya adhabu ya namna ya kutoa adhabu viboko kwa mwanafunzi anapokosea lakini inakiukwa na madhara yake tumeyaona, pendekezo letu la kwanza : Ni wakati sasa Serikali ikafuta adhabu za viboko na kuja na njia mbadala za kuwarekebisha watoto wetu wanapokosea.

Revocatus J. Ng'oja(@NgRevocatus) 's Twitter Profile Photo

Tumeuomba uongozi wa Bunge wa Mabunge yote mawili kuzingatia pendekezo letu la mfumo wa pande mbili katika kushughulikia mambo yaliyotolewa na Kambi ya Upinzani kama kipaumbele.
William Samoei Ruto, PhD
Rais wa Kenya

@WilliamsRuto 
Rais wa Kenya
account_circle