EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

โ€œSio kweli, wasanii hawajanitenga, wasanii wote niko nao poa na sina matatizo na msanii yoyote. Hata dada yangu Dayna Nyange Daynanyange tulikuwa na matatizo kipindi fulani lakini nilimtafuta nikamwambia sister haya ni maisha, tufanye maisha, now tuko good kabisa,

#BURUDANI โ€œSio kweli, wasanii hawajanitenga, wasanii wote niko nao poa na sina matatizo na msanii yoyote. Hata dada yangu Dayna Nyange @daynanyange tulikuwa na matatizo kipindi fulani lakini nilimtafuta nikamwambia sister haya ni maisha, tufanye maisha, now tuko good kabisa,
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: ''I'm not proud na education yangu kabisa, sema ninachoshukuru Mungu naye alikuwa na sababu maana najua hiki kichwa ningesoma sana ingekuwa mtihani, sijapata nafasi ya kusoma sana na ndiyo maana nahakikisha mwanangu anapata elimu bora'' - Daynanyange via SalamaNa

#SalamaNa: ''I'm not proud na education yangu kabisa, sema ninachoshukuru Mungu naye alikuwa na sababu maana najua hiki kichwa ningesoma sana ingekuwa mtihani, sijapata nafasi ya kusoma sana na ndiyo maana nahakikisha mwanangu anapata elimu bora'' - @daynanyange via SalamaNa
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: ''Naweza kusema ni bahati sana mimi kufanya kazi na Davido; pamoja ya kwamba mimi ni msanii nina uwezo mkubwa, Lakini kumpata kufanya nae kazi ni bahati sana ana-collabo nyingi zimetumwa wanataka kufanya nae kazi anakwambia hataki '' - Daynanyange via SalamaNa

#SalamaNa: ''Naweza kusema ni bahati sana mimi kufanya kazi na Davido; pamoja ya kwamba mimi ni msanii nina uwezo mkubwa, Lakini kumpata kufanya nae kazi ni bahati sana ana-collabo nyingi zimetumwa wanataka kufanya nae kazi anakwambia hataki '' - @daynanyange via SalamaNa
account_circle
MAGREEN(@DULAYOMAGREEN) 's Twitter Profile Photo

THE WAIT IS OVER, FINALE YA. Daynanyange IMETOKA NA INAPATIKANA KWENYE KWENYE ALL DIGITAL PLATFORMS. ๐ŸŽถ LINK ON HER BIO.

Porduced by
Mixing and mastering By @mrttouchez
๐ŸŽฅ๐ŸŽ‡ @silverboyvisual ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ

THE WAIT IS OVER, FINALE  #NAE YA. @daynanyange IMETOKA NA INAPATIKANA KWENYE  KWENYE  ALL DIGITAL PLATFORMS. #ENJOY ๐ŸŽถ LINK ON HER BIO.

Porduced by  #Frangermixing
Mixing and mastering By @mrttouchez 
๐ŸŽฅ๐ŸŽ‡ @silverboyvisual ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
account_circle