Dodoma_Zone(@Dodoma_Zone_) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe. RECUR akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi Mhe. Nancy Tembo misaada ya Kibinadamu iliyotolewa na Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe. @hpolepole akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi Mhe. Nancy Tembo misaada ya Kibinadamu iliyotolewa na Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
account_circle
Kamala Dickson(@ItsKamala) 's Twitter Profile Photo

Salamu Nyingi kutoka kwa Balozi wetu Nchini Malawi Ndugu RECUR, Ametukumbusha mengi na ni tanuru la Maarifa kiukweli nimenufaika sana na mazungumzo ya Leo
Hakika tungojee Fursa za Vijana kutoka kwa Balozi wetu

Salamu Nyingi kutoka kwa Balozi wetu Nchini Malawi Ndugu @hpolepole, Ametukumbusha mengi na ni tanuru la Maarifa kiukweli nimenufaika sana na mazungumzo ya Leo 
Hakika tungojee Fursa za Vijana kutoka kwa Balozi wetu
account_circle
Wizara ya Sanaa(@WizaraSanaa) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri Falsafa Baba! amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe. Humphey Polepole RECUR Agosti 2, 2023 baada ya kufika nchini Cuba kwa ajili ya kuhudhuria maonesho ya kimataifa ya Michezo ya Havana, yanayofanyika nchini humo.

Naibu Waziri @MwanaFA amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe.  Humphey Polepole @hpolepole Agosti 2, 2023 baada ya kufika nchini Cuba kwa ajili ya kuhudhuria maonesho ya kimataifa ya Michezo ya Havana, yanayofanyika nchini humo.
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

''Wahuni ni watu wabaya hawajawahi kuisha ni kama watu wabaya katika imani hawajawahi kuisha mpaka tutakapokwenda mbinguni kwahiyo ni juhudi zetu kila siku kuwabaini walipo na kuwachukulia hatua pasi na kurudi nyuma'' -

''Wahuni ni watu wabaya hawajawahi kuisha ni kama watu wabaya katika imani hawajawahi kuisha mpaka tutakapokwenda mbinguni kwahiyo ni juhudi zetu kila siku kuwabaini walipo na kuwachukulia hatua pasi na kurudi nyuma'' - #HPolepole #SupaBreakfast #Malawi #Tanzania #EastAfricaRadio
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Tanzania nchini Malawi, akizungumza kuhusu fursa zilizopo nchini Malawi ambapo amesema ukitaka hela ya haraka basi nchini humo ndiyo mpango mzima.

Interview kamili utaikuta youtube channel ya

account_circle
bongo5.com(@bongofive) 's Twitter Profile Photo

Maadhimisho ya siku ya Kiswahili - Havana, Cuba.

Katika Maadhimisho Hayo Balozi wa Tanzania Nchini Cuba Mheshimiwa Humphrey H Polepole RECUR amesema waasisi wa Mataifa ya Afrika walifanya jukumu lao kwa Harakati Kubwa za Kulikomboa Bara la Afrika Na Kwamba ni wakati wa

account_circle
E Digital(@EfmTanzania) 's Twitter Profile Photo

Umewahi kusikia ‘watu wa Cuba’? Je unawajua wale wanaosema ‘Tuliosomea Cuba’?

Baasi sasa hivi wakienda Cuba watakutana na Balozi Polepole😀
.
Rais wa Samia Suluhu amemteua Balozi Humphrey RECUR kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba.

Umewahi kusikia ‘watu wa Cuba’? Je unawajua wale wanaosema ‘Tuliosomea Cuba’?

Baasi sasa hivi wakienda Cuba watakutana na Balozi Polepole😀
.
Rais wa Samia Suluhu amemteua Balozi Humphrey @hpolepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba.

#EdigitalUpdates
account_circle
The Source Initiative(@thesourcetz) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe. RECUR akiendelea na Juhudi zake katika kuhakikisha na kukuza Diplomasia ya Uchumi, Biashara, kuyalinda, kuyatetea, kuyapigania na kuyaendeleza Maslahi Mapana ya Tanzania..........

Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe. @hpolepole akiendelea na Juhudi zake katika kuhakikisha na kukuza Diplomasia ya Uchumi, Biashara, kuyalinda, kuyatetea, kuyapigania na kuyaendeleza Maslahi Mapana ya Tanzania..........
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

''Kuhusu kupenda ubunge au ubalozi, sisi ni watumishi unatumwa hauchagui, mimi hata ningeambiwa kuanzia leo ukapike chai mimi nitakwenda kama hiyo kupika chai inalinda maslahi mapana na nchi yetu ya Tanzania'' - Balozi wa Tanzania Malawi.

account_circle
Mgombea Binafsi(@zachariageosayi) 's Twitter Profile Photo

HB_CBE 2020 RECUR @sheby_yahya Rashda Zunde @Ngaso6Ngaso Mapung'o Kigogo Media Mganga Joh Humphrey Vidonyi Rwabudugu🇹🇿 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 Pole pole Kesha wajibu...mbele ya ofisi ndo kaweka picha moja tu ya Rais aliyepo madarakani,zile zingine za Maraisi waliyopita ziko nyuma zimepangana zikajaza ukuta😀

@Hb_cbe_2020 @hpolepole @sheby_yahya @RashdaZunde @Ngaso6Ngaso @Mapungo2020 @kigogo2014 @mgangajoh @VidonyiHumphrey @rwabudugu @__abdulazack Pole pole Kesha wajibu...mbele ya ofisi ndo kaweka picha moja tu ya Rais aliyepo madarakani,zile zingine za Maraisi waliyopita ziko nyuma zimepangana zikajaza ukuta😀
account_circle
The Source Initiative(@thesourcetz) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe. RECUR amewataka Watanzania wote waishio nchini Cuba kuweza kuwasiliana kupitia namba zake +53 5 9333793 ili kujenga Ushirkiano mwema na kujadili mambo kadha wa kadha pamoja kwa maslahi mapana ya Tanzania.

account_circle