Kitila Mkumbo (PhD)(@kitilam) 's Twitter Profileg
Kitila Mkumbo (PhD)

@kitilam

Proud husband to Prosista, and Dad to Aggrey, Calvin and Abigail. MP- Ubungo Constituency, Minister President’s Office-Planning and Investment. Tweets mine!

ID:1912949292

linkhttps://kitilamkumbo.co.tz/ calendar_today28-09-2013 03:29:13

3,9K Tweets

144,6K Followers

763 Following

MFA Tanzania(@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Minister of State President’s Office Planning and Investment, Kitila Mkumbo (PhD), engaged in a productive meeting with UK Minister for Development and Africa, Hon. Rt Hon Andrew Mitchell MP, in Dodoma. The MOU on mutual Prosperity Partnership was signed for shared prosperity.

Minister of State President’s Office Planning and Investment, @kitilam, engaged in a productive meeting with UK Minister for Development and Africa, Hon. @AndrewmitchMP, in Dodoma. The MOU on mutual Prosperity Partnership was signed for shared prosperity.
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nimefarijika na ujumbe wa video toka kwa Maria, Salama, Ezekiel, Iddi na Cecilia wakazi wa Babati mkoani Manyara, wakielezea namna ambavyo kukamilika kwa miradi miwili ya maji ya Darakuta-Magugu na Dareda-Singu-Sigino-Bagara kumebadili maisha yao. Wao ni sehemu ya wananchi zaidi…

account_circle
Ayker-Adila(@AykerP) 's Twitter Profile Photo

Sio somo rahisi in today's political world ambapo uchawa umekua idolized na kuonekana kama one aspect ya mtu kuonekana na kupewa cheo.
A great reminder to be so good at what you do ili your deliverance ikusemee, thank you Prof Kitila Mkumbo (PhD)

account_circle
Ofisi ya Mbunge Jimbo La Ubungo(@MbungewaUbungo) 's Twitter Profile Photo

Mabalozi wa Mashina wa Kata ya Mburahati leo wamepata wasaa wa kukutana na kufanya mazungumzo na Mbunge wao wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi OR-MU Prof. Kitila Mkumbo (PhD) alipokuwa ziarani katika Kata hiyo kwa lengo la kukagua miundombinu na kuzungumza na wananchi

Mabalozi wa Mashina wa Kata ya Mburahati leo wamepata wasaa wa kukutana na kufanya mazungumzo na Mbunge wao wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi OR-MU Prof. @kitilam alipokuwa ziarani katika Kata hiyo kwa lengo la kukagua miundombinu na kuzungumza na wananchi
account_circle
C L E M E N T 🦁🏷️(@venant_clement) 's Twitter Profile Photo

Maneno ya Busara na yaliyojaa hekima nyingi sana kwa mtu yoyote yule aliyeko kwenye Utumishi wa Umma na yanamfaa mtu yoyote yule awe kijana, mtu mzima au mzee.

Mimi nimebeba matatu hapa SUBRA , BAHATI na WAKATI.

Inaendelea.....

account_circle
President's Office - Planning and Investment(@Ofisiya_Rais_MU) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb,), na Mhe.Mette Nørgaard Dissing-Spandet Balozi wa Denmark nchini, wamekutana leo Machi 18, Jijini Dodoma na kujadili masuala ya maendeleo na ushirikiano katika shughuli za Mipango na Uwekezaji.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb,), na Mhe.Mette Nørgaard Dissing-Spandet Balozi wa Denmark nchini, wamekutana leo Machi 18, Jijini Dodoma na kujadili masuala ya maendeleo na ushirikiano katika shughuli za Mipango na Uwekezaji.
account_circle
Fascinating(@fasc1nate) 's Twitter Profile Photo

This photo, taken by Stanley Forman in 1975, shows 2-year-old Tiare Jones and 19-year-old Diana Bryant falling from a 5th-floor fire escape after it collapsed during a fire.

Diana died, but Tiare survived as Diana’s body cushioned her fall. The photo later won a Pulitzer…

This photo, taken by Stanley Forman in 1975, shows 2-year-old Tiare Jones and 19-year-old Diana Bryant falling from a 5th-floor fire escape after it collapsed during a fire. Diana died, but Tiare survived as Diana’s body cushioned her fall. The photo later won a Pulitzer…
account_circle
Kitila Mkumbo (PhD)(@kitilam) 's Twitter Profile Photo

Naomba sote tushiriki kutoa maoni yetu kuhusu mwelekeo wa nchi katika miaka 25+ ijayo. Clip hii inaonesha namna ya kutoa maoni. Karibuni!

account_circle
World Bank Tanzania(@WBTanzania) 's Twitter Profile Photo

'76% of our population is below age 35, and 19% is of school-going-age. Also, 65% of the population is rural. Because of this, it is natural that our future development plans and policies will have to be youth-focused and rural-oriented.”

'76% of our population is below age 35, and 19% is of school-going-age. Also, 65% of the population is rural. Because of this, it is natural that our future development plans and policies will have to be youth-focused and rural-oriented.”
account_circle
World Bank Tanzania(@WBTanzania) 's Twitter Profile Photo

“In the context of a high fertility rate, education remains key in terms of how we go forward because we know that high education outcomes are correlated with low fertility rates” – Hon. Prof Kitila Mkumbo (PhD), Minister of State, PO, Planning and Investment.

“In the context of a high fertility rate, education remains key in terms of how we go forward because we know that high education outcomes are correlated with low fertility rates” – Hon. Prof @kitilam, Minister of State, PO, Planning and Investment.
account_circle
World Bank Tanzania(@WBTanzania) 's Twitter Profile Photo

“By investing in quality healthcare and modern infrastructure, we aim to create a society that is not only educated and financially stable but also physically and mentally healthy”– Prof Kitila Mkumbo (PhD), Minister of State, PO, Planning and Investment

“By investing in quality healthcare and modern infrastructure, we aim to create a society that is not only educated and financially stable but also physically and mentally healthy”– Prof @kitilam, Minister of State, PO, Planning and Investment #TanzaniaEconomicUpdate
account_circle
Ofisi ya Mbunge Jimbo La Ubungo(@MbungewaUbungo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo (PhD) ameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Ofisi ya Tawi la Chama Cha Mapinduzi Baruti na kupandisha bendera ya Chama huku akichangia kiasi cha Sh. Milioni 1.5 ukiwa ni utaratibu wake wa kuchangia ujenzi wa ofisi za Matawi

Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. @kitilam ameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Ofisi ya Tawi la @ccm_tanzania Baruti na kupandisha bendera ya Chama huku akichangia kiasi cha Sh. Milioni 1.5 ukiwa ni utaratibu wake wa kuchangia ujenzi wa ofisi za Matawi
account_circle
Kitila Mkumbo (PhD)(@kitilam) 's Twitter Profile Photo

Ninayo furaha kuwatangazia wananchi wa Kata ya Kimara na Jimbo la Ubungo kwa ujumla kuwa jana tarehe 09 Februari 2024 Serikali, kupitia TANROADS, na Mkandarasi Nyanza Construction Company Limited wamesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kimara-Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi (KM…

Ninayo furaha kuwatangazia wananchi wa Kata ya Kimara na Jimbo la Ubungo kwa ujumla kuwa jana tarehe 09 Februari 2024 Serikali, kupitia TANROADS, na Mkandarasi Nyanza Construction Company Limited wamesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kimara-Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi (KM…
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi, President's Office - Planning and Investment Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (PhD) amekutana na kufanya kikao na makampuni ya sekta binafsi ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Kongamano la Biashara na Uwekezaji linalotarajiwa kufanyika nchini tarehe 13.02.2024.

📍Dar es Salaam
09/02/2024

Waziri wa Nchi, @Ofisiya_Rais_MU Mhe. Prof. @kitilam amekutana na kufanya kikao na makampuni ya sekta binafsi ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Kongamano la Biashara na Uwekezaji linalotarajiwa kufanyika nchini #Norway tarehe 13.02.2024. 📍Dar es Salaam 09/02/2024
account_circle
Goba Roads Runners(@gobaroadrunners) 's Twitter Profile Photo

Mbio yetu ya ilipata heshima ya kufunguliwa na Mh Waziri Kitila Mkumbo (MB) Kitila Mkumbo (PhD)

Asante sana kwa heshima hii na karibu tena Goba maana ni nyumbani kwako.
👊

Mbio yetu ya #GobaHillsMarathon2024 ilipata heshima ya kufunguliwa na Mh Waziri Kitila Mkumbo (MB) @kitilam Asante sana kwa heshima hii na karibu tena Goba maana ni nyumbani kwako. #KulaGwala👊
account_circle
Africa Facts Zone(@AfricaFactsZone) 's Twitter Profile Photo

Tanzania generated $3.3 billion from 1.797 million tourists in 2023. The tourism revenue went up by 37.5%.

The number of tourists rose by 27%.

account_circle