Ritha Chuwalo(@RithaChuwalo2) 's Twitter Profile Photo

Ila nyie apandacho Mtu mjueeee na sijui kwa nini mwanamke unakua tayari kabsaaa kuharibu Ndoa ya mwenzio 😏😏😏😏😏

account_circle
Ritha Chuwalo(@RithaChuwalo2) 's Twitter Profile Photo

Wapenzi huyu ndio Ben tuliokuwa tunamzungumzia kwenye Bonyeza Link ya MamaMia

Hakika ni mfano wa kuigwa na hii ndio kitu inayoitwa ubunifu jitofautishe na wengine utapata Jina Umaarufu na Pesa Pia Bila kusahau Baraka za MUNGU

#BonyezaLink 
#MamaMia
account_circle
Ritha Chuwalo(@RithaChuwalo2) 's Twitter Profile Photo

Tatu Kamili asubuhi nitakuwa nawasubiri kituoni jamani .

88.1 EA Radio Kituo chetu
Atakaechelewa tunamuacha shauri zake 🀣🀣🀣🀣🀣

Wenu katika huba zito
Ritha Chuwalo 😜😜😜

#LakoHilo#BonyezaLink#RedFlag#OngezaBando#PilikaPilika#ChumbaChaMwali

πŸ’‹πŸ’‹

EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Tumalizeni utata huu leo. Eti ni mbaya zaidi Mwanaume aki-cheat au Mwanamke na Kwanini?

Dondosha comment Yako na wataisoma live Muda huu mpaka saa 6:00 Mchana.

Picha: FakazaNews

Dondosha comment Yako na #MamaMia wataisoma live Muda huu mpaka saa 6:00 Mchana.

Picha: FakazaNews

#MamaMia #EatvKinara #HainaKuchoka #BonyezaLink #EastAfricaR
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Nassoro, msikilizaji kutoka Magomeni 88.1 Dar Es Salaam anasema, kumjua Mwanamke ni kipengele sana, kitabua cha Mwanamke ni kikubwa sana kukisoma uweze kukimaliza, na hata ukimaliza unaweza usikielewe, na swala la usaliti halikwepeki.

…

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: 'Kuna vitu ambavyo pia watu wanatengeneza, kwa mfano kuweka kope, kutengeneza makalio, kubandika kucha, tunatengeneza urafiki na shetani, na watu ambao wanaweka vitu zaidi wanaongoza kwa stress' - Sheikh Mussa, Mkurugenzi @maajabu18

…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Wanawake eeeh, huko majumbani chai inapikika kweli?

Dondosha comment Yako na wataisoma live Muda huu mpaka saa 6:00 Mchana.

Cc; @daannatz @mcritha_chuwalo @yustamsowoya @asheromar

Wanawake eeeh, huko majumbani chai inapikika kweli?

Dondosha comment Yako na #MamaMia wataisoma live Muda huu mpaka saa 6:00 Mchana.

Cc; @daannatz @mcritha_chuwalo @yustamsowoya @asheromar

#MamaMia #BonyezaLink #EastAfricaRadio
account_circle