MJUKUU(@WideEdson) 's Twitter Profile Photo

Kumbe leo ni sikuku ya wafanya kazi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na wamepumzika daa Sisi vibalua tupo kibaruani leo hainakuchoka vibalua wenzangu piga kazi ๐Ÿค
VISIT MWANZA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Kumbe leo ni sikuku ya wafanya kazi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na wamepumzika  daa  Sisi vibalua tupo kibaruani leo hainakuchoka vibalua wenzangu piga kazi ๐Ÿค
VISIT MWANZA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Afisa habari wa Yanga SC Ally Kamwe amesema kuwa wamekuja na staili mpya ambayo wachezaji wote watakao sajiliwa kwenye timu yao, watapewa makombe yote kuyapiga busu.

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: @yustamsowoya amesema na watu wote wanaoshindwa kutumia mawazo yao na kuyafanyia kazi badala yake wana visingizio vingi na wamebweteka, anasema wasimame na kwenda kufanya kazi waache kukaa na mawazo yao.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Makubaliano ya mwisho yaliamua nani bora kati ya Freddy Michael Kouablan na Joseph Guรฉdรฉ Gnadou

Tuandikie hapo chini kwenye comment,

Makubaliano ya mwisho yaliamua nani bora kati ya Freddy Michael Kouablan na Joseph Guรฉdรฉ Gnadou

Tuandikie hapo chini kwenye comment,

#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Michezo
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Peter Msechu anakiri yeye sio mzuri wa uandishi haswa katika nyimbo za mapenzi, ila ni mzuri zaidi katika utunzi wa nyimbo za maombolezo inapotokea msiba.

CC @blessing_teba @clementthehero

account_circle