EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Ni sawa mwenye nyumba kuishi na wapangaji eneo moja?

Tuandikie comment yako tutaisoma usikose kusikiliza kuanzia saa 10:00 Jioni kupitia EastAfricaRadio.

Picha: Zogo zogo

Ni sawa mwenye nyumba kuishi na wapangaji eneo moja?

Tuandikie comment yako tutaisoma #Ndingani usikose kusikiliza kuanzia saa 10:00 Jioni kupitia EastAfricaRadio.

Picha: Zogo zogo

#Dodoso #DriveShow #NdingaMpyaTown
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Tupo hapa kusindikiza safari yako kutoka kazini mpaka kufika nyumbani, hatuna uhakika unatusikiliza kutokea wapi.

Lakini uhakika wetu ni kwamba unatusikiliza na sisi tuna-swali kwako, Ulishawahi kupigwa tukio gani na Bodaboda?

Cc: @lupokela15 @dialoian @djmackaytz…

#DRIVESHOW: Tupo hapa kusindikiza safari yako kutoka kazini mpaka kufika nyumbani, hatuna uhakika unatusikiliza kutokea wapi.

Lakini uhakika wetu ni kwamba unatusikiliza na sisi tuna-swali kwako, Ulishawahi kupigwa tukio gani na Bodaboda?

Cc: @lupokela15 @dialoian @djmackaytz…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Imani za kabila la Voodoo (Vodun) linalopatikana Afrika Magharibi katika nchi mbalimbali ikiwemo Benin, Togo, Ghana na Nigeria, ni kabila linaloamini katika ushirikina, mfano siku ya Jumatatu ukitembelewa na mwanamke asubuhi tu, kwao inaashiria mkosi.

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Vitu vingine ambavyo wanawake hawavipendi kwa wanaume, ikiwemo hawapendi mwanaume aliye busy kila muda bila kuwa na mke wake, na kingine ni mwanaume kunuka.

account_circle