EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Ni namna gani kipato chako kidogo kinaweza kukufanya kufikia mafanikio?

Dondosha comment yako hapo chini na wataisoma live muda huu mpaka saa 6:00 Mchana.

Ni namna gani kipato chako kidogo kinaweza kukufanya kufikia mafanikio?

Dondosha comment yako hapo chini na #MamaMia wataisoma live muda huu mpaka saa 6:00 Mchana.

#MamaMia #OngezaBando #HainaKuchoka #EastAfricaRadio
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

MamaMia tutakuwa live na @achievefinancetz tukijadili naye juu ya ili Mwanamke afanikiwa katika shughuli zake ni lazima awe na elimu ya masuala ya fedha?

Ni leo kuanzia saa 3:00 Asubuhi mpaka saa 6:00 Mchana. Usithubutu kukosa.

#MamaMia #OngezaBando #HainaKuchoka…
account_circle
Ritha Chuwalo(@RithaChuwalo2) 's Twitter Profile Photo

Ushauri huu hapa kutoka kwa Mkurugenzi wa Barox Company Limited Mr. Simba Zubery kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara.

ZuberiSimba

@baroxsoap

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: 'Ukisema kipato kidogo, maana yake ni kwamba tayari wewe kipato unacho, ila kinachofanya kiwe kidogo una malengo makubwa, kwanini una malengo makubwa, ni kwasababu hujatafuta maana yako ya mafanikio' - Mshauri wa masuala ya fedha mr.mind_tz

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

MamaMia tupo live na Ernest Komba, Rais wa chama cha wanaume wanaopigwa na wake zao majumbani, akielezea namna mke wake alivyokuwa akimpiga mpaka kufikia kumng'oa jino.

Tupo hapa mpaka saa 6:00 Mchana. Kaa karibu na redio yako. @rais_wa_wanaume

#MamaMia #OngezaBando…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: 'Mwanamke anayetaka kuolewa asiwe mzinifu, yani wewe ukishaanza kuwa mzinifu, mimi hata nikikuoa na mashaka na wewe, kwamba kesho kesho kutwa utachepuka' - Sheikh Mussa, Mkurugenzi @maajabu18

account_circle
Ritha Chuwalo(@RithaChuwalo2) 's Twitter Profile Photo

Tatu Kamili asubuhi nitakuwa nawasubiri kituoni jamani .

88.1 EA Radio Kituo chetu
Atakaechelewa tunamuacha shauri zake 🤣🤣🤣🤣🤣

Wenu katika huba zito
Ritha Chuwalo 😜😜😜

#LakoHilo#BonyezaLink#RedFlag#OngezaBando#PilikaPilika#ChumbaChaMwali

💋💋

#MamaMia