Big Mary(@maryjanne09) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na kuwa pilikapilika zetu za utafutaji zinatupeleka mbio lakini zisitusahaulishe kufanya Ibada.

Good morning my dears

account_circle
PFF, tz ๐ŸŒด(@salema_e) 's Twitter Profile Photo

Kuna kipindi kilkuwa kinarushwa redioni TBC Miaka ya Nyuma Sana kiliitwa 'PILIKAPILIKA' Siku ya Jumapili 09:00pm, Bi mkubwa alikuwa anakipenda Sana, ilikuwa lazima Wali upikwe mda wa kula ndio tunasikiliza ilikuwa powa sana

Eng. Mbwambo(@iAlfordMbwambo) 's Twitter Profile Photo

Pale vijana wenzangu tunapolalamika Ajira...Nimepiga stori na Mdada anafanya kazi ya mama lishe siku zima pilikapilika za hapa na pale kuanzia saa10 alfajiri hadi saa4 usiku anaambulia 3000 huku sisi hiyo nipesa ya bundle tumwangalie mpambazi julius kapost nini nimeingiwa na imani๐Ÿค”

Pale vijana wenzangu tunapolalamika  Ajira...Nimepiga stori na Mdada  anafanya kazi ya mama lishe siku zima pilikapilika za hapa na pale kuanzia saa10 alfajiri hadi saa4 usiku anaambulia 3000 huku sisi hiyo nipesa ya bundle tumwangalie @mpambazi_ kapost nini nimeingiwa na imani๐Ÿค”
account_circle
Kuduishe Kisowile(@Kudu_ze_Kudu) 's Twitter Profile Photo

Je, umewahi kusikia 'mashamba ya chumvi'?
Katika pilikapilika zangu nikiwa Mtwara, niliona haya mabwawa nikauliza ni ya nini?
Nikaambiwa, ni 'mashamba ya chumvi', chumvi hii huvunwa kutoka kwenye maji ya bahari. UZI

#visitMtwara #TembeleaMtwara #MtwaraKuchele #DaktariMwandishi
account_circle
Shilingi(@BwanaShilingi) 's Twitter Profile Photo

Ukitaka kurekebisha jina lililokosewa hapa jiandae kisaikolojia, Pilikapilika zake na gharama mpaka utaacha tu๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜€

Ukitaka kurekebisha jina lililokosewa hapa jiandae kisaikolojia, Pilikapilika zake na gharama mpaka utaacha tu๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜€
account_circle
Tanzania Bound Buses(@TBoundBuses) 's Twitter Profile Photo

Mwili wa mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Super Sami(Josiah) umekutwa katika mto serengeti ukiwa unaelea juu ya maji pia kafungwa na mawe makubwa ....wananchi wakiwa katika pilikapilika zao za uvuvi walibahatika kuona mwili huo ukielea juu ya maji

Rest in peace Josiah!

Nuuh(@nuhmnyalu) 's Twitter Profile Photo

Unamjua Hynax??
Okey Huyu Mnyama Anaitwa Pimbi!!

Ni Ana Harakati Na Pilikapilika Zisizo Na Maana. Yaani Anaweza Akatembea Kilomita Zaidi Ya 55 ,Akifika Uko Anashangaa Shangaa Analala Alafu Anarudi.

Mpwaa Ukiitwa Pimbi Kupigana Ruksa. Si Unapambania Heshima Yako

NaNaLee_Tz๐Ÿฅ€(๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท)๋‚ธ์‹œโ™‰๏ธ(@MijuLee_Tz) 's Twitter Profile Photo

Hellow Poleni na Pilikapilika za kutwa

Kesho ndo ile siku tuliyokuwa tunaisubiri imewadia

Kutakuwa na DISCOUNT ya Jezi zote. wale wa Man u na CHELSEA game jumapili simnazo Taarifa mje mjipatie jez๐Ÿ‘‚

Nitakuwepo na Accessories zote na @MChelsea1221 atakuwepo na Jersey zote๐Ÿ”ฅ.

jonunda(@JosmoMlundwa) 's Twitter Profile Photo

Haya mambo ya kuambiana angalia mahusiano yaliolegea legea uingimo na wewe aiseee........ acha tuendeleze pilikapilika za mtu mweusi hapo Corner Bar

DStv (TZ)(@DStv_Tz) 's Twitter Profile Photo

Baada ya pilikapilika za siku nzima, maliza siku yako kwa kutazama Filamu Hobbs and Shaw saa 1:44 usiku kupitia chaneli ya Mnet 104.

#TupoNawe
account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kazi za pilikapilika zinapelekea kuwa na hali ya uchovu wa mara kwa mara, ila ukiwa na MoXtra mambo ni muruwa jiweke sawa na ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ kila wakati.

account_circle
Fortunatus Buyobe(@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

URAFIKI POLICE POST

Hajulikani watu wa kituo cha polisi OYSTERBAY walikutana wapi na wenzao wa waliokamata wafanyabiashara wale.

Lakini mida ya saa mbili usiku kulikuwa na pilikapilika ndani na nje ya kituo cha Polisi cha Urafiki.

Naam!

Na Ugeni wa maafisa wa juu....

๐Ÿ‘‡