See you all this Sunday 28th April at the Lukiza Autism Foundation Run 4 Autism Marathon!
#Run4AutismTanzania2024
Am so excited to participate in the #Run4AutismTanzania2024 marathon tomorrow with the HISP TANZANIA team. There has been lots of preparation towards this. See you on Sunday ππ½ββοΈπ¨
'Tumepata certificate'
Baadhi ya wakimbiaji kwenye mbio za #run4autismtanzania 2024 wakiwa na vyeti vyao baada kumaliza kukimbia mbio hizo zilizofanyika Jumapili iliyopita viwanja vya Green Ground Oysterbay.
#run4autismtanzania
Mbio za usonji za Run 4 Autism Tanzania hazibagui: Jamaa ametupia shuka lake la Kimasai akikata upepo πββοΈπββοΈ
#run4autismtanzania2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mbio za #run4autismtanzania 2024 akiongoza mbio hizo zilizofanyika Jumapili iliyopita viwanja vya Green Ground Oysterbay.
Cc: @hildankabe
#run4autismtanzania
#run4autismtanzania 2024
Mbio zilianzia asubuhi kabisa Jana kwenye viwanja vya The Green Ground Oysterbay Jijini Dares Salaam. Hivi ndivyo ilivyokuwa!!!!!
#run4autismtanzania
Lukiza Autism Foundation Hilda Nkabe Jokate Mwegelo UVCCM TZ
#run4autismtanzania2024
run4autismmarathon.co.tz