EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa @qingmadi kutoka Nigeria anasema hamjui msanii yeyote kutoka Tanzania.

Unahisi kipi kinafanya wasanii wetu kutojulikana nchi za nje?

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Qing (King) Madi ameiambia ya kuwa alianza kufanya muziki kama utani kwa sababu ni Hobby yake pia hafanyi muziki kwa ajili ya pesa.

Hii ni ya kila siku ya J3 mpaka Alhamisi kuanzia 3:00 - 6:00 usiku.

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Huko 254 Kenya mashabiki wa muziki huwaambii kitu kuhusu Amapiano za wasanii wa Tanzania @DiamondPlatnumz na Harmonize

Mtangazaji Mzazi Willy M. Tuva huyu hapa kwenye line anafunguka zaidi ukubwa wa na Kenya.

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Msanii mwenye umri mdogo zaidi Nigeria Qing (King) Madi (17) amepiga story na ya juu ya mapokezi makubwa ya Hit yake ya 'American Love' na matarajio yake baada ya kuachia wimbo huo.

account_circle