Hey @startrek_thecruise people! Reminder to come watch Anthony Rapp SAG-AFTRA National Board Member Wil Wheaton Michelle Hurd Mary Chieffo and Erin Macdonald is Not Here (same un on the sky) play some #dungeonsanddragons TODAY at 3:30 in the Star Lounge!
#BURUDANI โWatu wengi wamekuwa wanawa-DM wasanii wa nje kuomba kazi, imagine kwa mara ya kwanza msanii kutoka Africa Mashariki kudiemiwa na msanii mkubwa wa Marekani na hapa navyokwambia Tunachartโ - Nandy
#TheCruise #Nandy #UsherRaymond #Trending #Music #Instagram
#BURUDANI Kama ulikuwa unaimba 'Hit na Mwamposa' kwente ngoma ya Jealousy jua umeingia chaka!
Producer wa ngoma hiyo ya Amapiano kutoka South Africa Ceeka Rsa anasema line hiyo inaimbwa 'Yithina Amabhoza'.
Hii ni #TheCruise ya #EastAfricaRadio kila siku ya J3 - Alhamisi
#BURUDANI Msanii The Nanay akipiga story na #TheCruise ya #EastAfricaRadio watu kufananisha muonekano wake na Mzee wa Commercial MASTA
Ni kweli unamuona AY ndani ya #TheNanay ?
#TheCruise kila siku ya J3 mpaka Alhamisi kuanzia 3:00 - 5:00 usiku.
#TheCruise @conniebeily
#BURUDANI Sikia ufundi na ukali wa mshindi wa #TheCruise KaraokeChallenge2023 Subzero Tz akiimba live Kijiti ya Mbosso
#TheCruise #Mbosso #SubZero #Karaoke Connie
#BURUDANI On #TheCruise ya #EastAfricaRadio imepiga story na mtangazaji maarufu Kenya Mzazi Willy M. Tuva akitaja wimbo wa Kiswahili ulio Hit Dunia.
Usiache kusikiliza #TheCruise kuanzia saa 3:00 - 6:00 usiku kila siku ya J3 mpaka Alhamisi.
#TheCruise #Kiswahili #Malaika #Muziki
#BURUDANI Tegemea kusikia ngoma back 2 back kutoka kwa Subzero TZ kama ambavyo anatuambia hapa #TheCruise ya #EastAfricaRadio .
#TheCruise #SubZero #Karaoke
Big Shoutout to all the Dsps for the Support ๐ซถ๐พ โข Thank you Fanmiliร ๐ง Azuri Music #TheCruise ๐ฟ
Azuri.lnk.to/TheCruise
#BURUDANI Mchekeshaji @ericomondi anasema Industry ya Comedy East Africa imekufa kwa sababu baada ya kuacha kufanya kazi hiyo mpaka akiamua kurudi jukwaani kuanza kuchekesha tena.
#TheCruise #EricOmond #Kenya @conniebeily @modoo_255
#BURUDANI Qing (King) Madi ameiambia #TheCruise ya #EastAfricaRadio kuwa alianza kufanya muziki kama utani kwa sababu ni Hobby yake pia hafanyi muziki kwa ajili ya pesa.
Hii ni #TheCruise ya #EastAfricaRadio kila siku ya J3 mpaka Alhamisi kuanzia 3:00 - 6:00 usiku.
#TheCruise
Today, I am in Split, Croatia with 3 new converts to cruising!! ๐ฅฐโด๏ธ Made it up the 180 steps to the top of the Bell Tower after rubbing Big Nin's toe!! ๐๐ beautiful place, worth seeing and I might even considering returning. #TheCruise
#BURUDANI 'KRG si msanii ila atakuwa ni mwana biashara ambaye saa zingine ni Mcheshi' - ERIC OMONDI akijibu swali la Connie kuhusu KRG kutamba kuwa msanii Tajiri zaidi Kenya.
#TheCruise #EricOmond #Kenya Connie @modoo_255