Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo News (Zanzibar), Bw Hassan Khatib Hassan, akielezea moja ya mfumo uitwao 'Sema na Rais Mwinyi' ambao umesaidia kwa namna moja kuwepo kwa #UhuruWaKujieleza na kuongezea namna maadhimisho ya 30 ya #WPFD ni fursa nyingine kwa #VyombovyaHabari
Hatuezi zungumzia #UhuruWaKujieleza pasipo serikali kuwa mstari wa mbele katika kuilinda tasnia ya Habari dhidi ya vitisho wanavyokumbana navyo katika mazingira yao ya kazi.
#WPFD2023_TZ
#DemokrasiaYetu
#VyomboVyaHabariHuru
Ukweli na demokrasia vinapaswa kuakisiwa kwenye matendo yetu yote, ikiwemo mawasiliano mitandaoni. Kuzima sauti za kutoa ukweli si uhuru. CHADEMA Tanzania, tusiwe na haraka ya 'block', badala yake tuchallenge hoja kwa hoja, tujenge mazungumzo yenye afya. #UhuruWaKujieleza #Demokrasia
Kuelekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari 2023 mgeni rasmi Rais wa Zanzibar
Kauli mbiu 'Kuunda mustakabali wa haki, #UhuruWaKujieleza kama kichocheo cha haki zingine zote za binadamu #WomenInMediaTz
Haki ya #UhuruWaKujieleza , unaojumuisha uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa kupokea au kutoa habari au mawazo, uhuru wa ubunifu wa kisanii na uhuru wa kitaaluma na uhuru wa utafiti wa kisayansi, unatakiw kulindwa na #KatibaMpya . #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
#UhuruWaKujieleza hautakiwi kwenye propaganda za vita, uchochezi wa ghasia, utetezi wa chuki unaozingatia rangi, kabila, jinsia au dini, na unaojumuisha uchochezi wa kusababisha madhara hii ni kwa sababu za kiusalama wa nchi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Mkurugenzi wetu Salha Binti Aziz 🇹🇿 anashiriki Mkutano MISA TANZANIA
Kauli Mbiu: “UHURU WA KUJIELEZA NI MSINGI WA HAKI KWA MAENDELEO ENDELEVU”
Ameshiriki “Pannel Discussion” akiwakilisha mashirika ya wanawake juu ya Uhuru wa kujieleza katika shughuli za NGOs
#UhuruWaKujieleza
#UhuruWaKujieleza hautakiwi kwenye propaganda za vita, uchochezi wa ghasia, utetezi wa chuki unaozingatia rangi, kabila, jinsia au dini, na unaojumuisha uchochezi wa kusababisha madhara hii ni kwa sababu za kiusalama wa nchi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
#UhuruWaKujieleza hautakiwi kwenye propaganda za vita, uchochezi wa ghasia, utetezi wa chuki unaozingatia rangi, kabila, jinsia au dini, na unaojumuisha uchochezi wa kusababisha madhara hii ni kwa sababu za kiusalama wa nchi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Baada ya Samia Suluhu kushika madaraka aliahidi kudumisha #UhuruWaKujieleza , Mategemeo ilikuwa ni kuondoa sheria zilizotungwa na mtangulizi wake zilizokuwa zinashambulia maoni na uhuru wa wananchi kukosoa, Je kuna bidiii amefanya? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
#UhuruWaKujieleza hautakiwi kwenye propaganda za vita, uchochezi wa ghasia, utetezi wa chuki unaozingatia rangi, kabila, jinsia au dini, na unaojumuisha uchochezi wa kusababisha madhara hii ni kwa sababu za kiusalama wa nchi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Serikali inatakiwa kujua watu wanaotumia #UhuruWaKujieleza ni kwa ajili ya mapenzi na nchi na sio uadui tunahitaji haki hii kuachwa huru kwa kila mwananchi kw akupitia #KatibaMpya ” — Boniface Mwabukusi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/a6hGcP4l9…
“Kama media zote zimetekwa ni wazi mitandao ndio kimbilio la wananchi wengi kutimiza haki yao ya #UhuruWaKujieleza , #KatibaMpya itamaliza hali hii” — Tutuvengele1 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/48Ynj4o
TLS imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo Asasi za Kiraia toka sahemu mbalimbali nchini juu ya Haki ya Uhuru wa kujieleza ikiwa ni sehemu ya Utekelezaji wa Majukumu yake kwa Umma. Mafunzo hayo yamefanyika tarehe 20 Mei 2024 jijini Dodoma. #uhuruwakujieleza
“Uhaini ni kosa pekee lilipopo kwenye katiba, na ndio kosa la juu zaidi katika sheria zetu na adhabu yake pekee ni kifo, si halali kuwapa kosa hili watu waliotumia haki ya #UhuruWaKujieleza ’ — Joseph Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/45VjICR
Moja ya dalili kwamba kuna upungufu #UhuruWaKujieleza nchi ni namba ambayo vyombo vya habari na viongozi wa taasisi mbalimbali wamekaa kimya kuhusu hali ya loliondo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/46Bbgsi
'Uchochezi' kama 'Ugaidi' kila mtu ana tafsiri yake.
#UhuruWaKujieleza unaminywa kwa namna mbalimbali