World Press Freedom Day (2024)(@WPFD_TZ) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo News (Zanzibar), Bw Hassan Khatib Hassan, akielezea moja ya mfumo uitwao 'Sema na Rais Mwinyi' ambao umesaidia kwa namna moja kuwepo kwa na kuongezea namna maadhimisho ya 30 ya ni fursa nyingine kwa

account_circle
Mo Shayo(@mo_shayo) 's Twitter Profile Photo

Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha misingi ya demokrasia na kukuza uhuru wa kujieleza Tanzania. Uongozi wako unatoa mfano wa kuigwa kwa vitendo na kuonyesha umuhimu wa mazungumzo katika kujenga jamii yenye nguvu na umoja. 🗣️🇹🇿

account_circle
Mo Shayo(@mo_shayo) 's Twitter Profile Photo

Ukweli na demokrasia vinapaswa kuakisiwa kwenye matendo yetu yote, ikiwemo mawasiliano mitandaoni. Kuzima sauti za kutoa ukweli si uhuru. CHADEMA Tanzania, tusiwe na haraka ya 'block', badala yake tuchallenge hoja kwa hoja, tujenge mazungumzo yenye afya.

Ukweli na demokrasia vinapaswa kuakisiwa kwenye matendo yetu yote, ikiwemo mawasiliano mitandaoni. Kuzima sauti za kutoa ukweli si uhuru. @ChademaTz, tusiwe na haraka ya 'block', badala yake tuchallenge hoja kwa hoja, tujenge mazungumzo yenye afya. #UhuruWaKujieleza #Demokrasia
account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

hautakiwi kwenye propaganda za vita, uchochezi wa ghasia, utetezi wa chuki unaozingatia rangi, kabila, jinsia au dini, na unaojumuisha uchochezi wa kusababisha madhara hii ni kwa sababu za kiusalama wa nchi.

#UhuruWaKujieleza hautakiwi kwenye propaganda za vita, uchochezi wa ghasia, utetezi wa chuki unaozingatia rangi, kabila, jinsia au dini, na unaojumuisha uchochezi wa kusababisha madhara hii ni kwa sababu za kiusalama wa nchi.  #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Jen_(@jennie_wwt) 's Twitter Profile Photo

Haki ya , unaojumuisha uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa kupokea au kutoa habari au mawazo, uhuru wa ubunifu wa kisanii na uhuru wa kitaaluma na uhuru wa utafiti wa kisayansi, unatakiw kulindwa na .

Haki ya #UhuruWaKujieleza, unaojumuisha uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa kupokea au kutoa habari au mawazo, uhuru wa ubunifu wa kisanii na uhuru wa kitaaluma na uhuru wa utafiti wa kisayansi, unatakiw kulindwa na #KatibaMpya. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
GODWIN GWAVALE(@Godwin_Godwin3) 's Twitter Profile Photo

Hata kama kuzima kwa mtandao kunaweza sababisha udhibiti wa masuala hatarishi, Serikali inapaswa kuzingatia haki za binadamu za na kupata habari ambazo ni muhimu katika kuendeleza demokrasia.

Hata kama kuzima kwa mtandao kunaweza sababisha udhibiti wa masuala hatarishi, Serikali inapaswa kuzingatia haki za binadamu za #UhuruWaKujieleza  na kupata habari ambazo ni muhimu katika kuendeleza demokrasia.   #InternetIsLife #MaishaNiMtandao #KatibaMpya
account_circle
Abdulkarim  Juma(@JumaAbdukarim) 's Twitter Profile Photo

hautakiwi kwenye propaganda za vita, uchochezi wa ghasia, utetezi wa chuki unaozingatia rangi, kabila, jinsia au dini, na unaojumuisha uchochezi wa kusababisha madhara hii ni kwa sababu za kiusalama wa nchi.

#UhuruWaKujieleza hautakiwi kwenye propaganda za vita, uchochezi wa ghasia, utetezi wa chuki unaozingatia rangi, kabila, jinsia au dini, na unaojumuisha uchochezi wa kusababisha madhara hii ni kwa sababu za kiusalama wa nchi. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari 2023 mgeni rasmi Rais wa Zanzibar

Kauli mbiu 'Kuunda mustakabali wa haki, kama kichocheo cha haki zingine zote za binadamu

Kuelekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari 2023 mgeni rasmi Rais wa Zanzibar 

Kauli mbiu 'Kuunda mustakabali wa haki, #UhuruWaKujieleza kama kichocheo cha haki zingine zote za binadamu #WomenInMediaTz
account_circle
#WenyeNchiWananchi(@KatibaMpyaTz_) 's Twitter Profile Photo

ni namna mojawapo ya uwajibikaji katika nchi wanaoufanya wananchi kwa maslahi ya Taifa lao unatakiwa kulindwa na si kuzuiliwa” — Mwaura Robert VIDEO : bit.ly/3TG1GRo

“ #UhuruWaKujieleza ni namna mojawapo ya uwajibikaji katika nchi wanaoufanya wananchi kwa maslahi ya Taifa lao unatakiwa kulindwa na si kuzuiliwa”   —  @MwauraRobert2 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO  :  bit.ly/3TG1GRo
account_circle
#WenyeNchiWananchi(@KatibaMpyaTz_) 's Twitter Profile Photo

“Serikali inazuia kwa kuwa kuna maovu wanaficha ambayo hawataki wananchi wajue. Serikali inatakiwa kujua wanatakiwa kuwa huru kuisema serikali” — Gwangway Ole yohani VIDEO : bit.ly/3TG1GRo

“Serikali inazuia #UhuruWaKujieleza kwa kuwa kuna maovu wanaficha ambayo hawataki wananchi wajue. Serikali inatakiwa kujua #WenyeNchiWananchi wanatakiwa kuwa huru kuisema serikali” —  @gwangwayyohani  #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO  :  bit.ly/3TG1GRo
account_circle
#WenyeNchiWananchi(@KatibaMpyaTz_) 's Twitter Profile Photo

“Wananchi wanajengewa fikra za uoga za kusifia vitu vinavyofanywa na serikali na kusema kuwa Rais katoa pesa! Hii sawa unatakiwa kuwepo kwa wanaosifia na kukosoa pia ” — Gwangway Ole yohani VIDEO : bit.ly/3TG1GRo

“Wananchi wanajengewa fikra za uoga za kusifia vitu vinavyofanywa na serikali na kusema kuwa Rais katoa pesa!  Hii sawa #UhuruWaKujieleza unatakiwa kuwepo kwa wanaosifia na kukosoa pia ” — @gwangwayyohani  #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO  :  bit.ly/3TG1GRo
account_circle
Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

“Hatuwezi kuwa na kiongozi au viongozi ambao hatuwezi kuwahoji chochote kuhusu mambo ya serikalini yanavyokwenda. Haki ya ni lazima izingatiwe” ” — VIDEO : bit.ly/3Sp6Saw

“Hatuwezi kuwa na kiongozi au viongozi ambao hatuwezi kuwahoji chochote kuhusu mambo ya serikalini yanavyokwenda. Haki ya #UhuruWaKujieleza ni lazima izingatiwe” ” —  #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO  : bit.ly/3Sp6Saw
account_circle
Shija S.S.Shibeshi(@S4Shibeshi) 's Twitter Profile Photo

Serikali inatakiwa kujua watu wanaotumia ni kwa ajili ya mapenzi na nchi na sio uadui tunahitaji haki hii kuachwa huru kwa kila mwananchi kw akupitia ” — Boniface Mwabukusi VIDEO : youtube.com/live/a6hGcP4l9…

Serikali inatakiwa kujua watu wanaotumia #UhuruWaKujieleza ni kwa ajili ya mapenzi na nchi na sio uadui tunahitaji haki hii kuachwa huru kwa kila mwananchi kw akupitia #KatibaMpya” —  @Mwabuk2Boniface #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/a6hGcP4l9…
account_circle
Omari Omari(@omari_manyama) 's Twitter Profile Photo

Kuzimwa kwa intaneti kunapunguza , kutatiza maendeleo ya kiuchumi na ukuaji wa biashara ya ndani, kutishia usalama wa umma na kuzidi kuvutia uchunguzi wa kimataifa.

Kuzimwa kwa intaneti kunapunguza #UhuruWaKujieleza, kutatiza maendeleo ya kiuchumi na ukuaji wa biashara ya ndani, kutishia usalama wa umma na kuzidi kuvutia uchunguzi wa kimataifa.  #InternetIsLife #MaishaNiMtandao #InternetShutDown
account_circle
fatma karume aka Shangazi(@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo


Sasa wataelewa kuwa WaTZ wanjuwa inavunjwa na hawapendi haya mambo kabisa.
Serikali wanalaumu “wanaharakati” kwa kuwaINFLUENCE wananchi vibaya.
Hapana…..
Wanaharakati tunasema yale wananchi wanafikiria lakini wanaogopa au hawana platform ya kusema.

account_circle
Shomari Omary Shomari ♈(@shomari_omary) 's Twitter Profile Photo

“Watu wengi ambao walikuwa ni mashabiki wa demokrasia na haki wote walibambikiziwa kesi za uhujumu uchumi kwa kuwa tuna serikali isiyotaka kukosolewa na kutoa ” — J.James youtube.com/live/6svRwGLn1…

“Watu wengi ambao walikuwa ni mashabiki wa demokrasia na haki wote walibambikiziwa kesi za uhujumu uchumi kwa kuwa tuna serikali isiyotaka kukosolewa na kutoa #UhuruWaKujieleza ” — @Kadulyu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/6svRwGLn1…
account_circle