Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

'Ooooh Hassan Mwakinyo......Ooooh Hassan Mwakinyo....!!!', - Hizi ni salamu kutoka kwa Watanzania waishio nchini Uingereza na wako tayari kwenda kumpa nguvu, dhidi ya usiku huu

Tuko LIVE

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

MWAKINYO: SITAPANDA ULINGONI

Pambano la dhidi ya Julius Indongo wa kuwania Mkanda wa IBA Intercontinetal (Septemba 29, 2023) lipo hatarini baada ya Mwakinyo kudai kuna uongo na udanganyifu wa 'Mapromota' wa pambano hilo

Amesema kama changamoto zilizopo…

MWAKINYO: SITAPANDA ULINGONI

Pambano la #HassanMwakinyo dhidi ya Julius Indongo wa #Namibia kuwania Mkanda wa IBA Intercontinetal (Septemba 29, 2023) lipo hatarini baada ya Mwakinyo kudai kuna uongo na udanganyifu wa 'Mapromota' wa pambano hilo

Amesema kama changamoto zilizopo…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Katibu mkuu wa kamisheni ya ngumi TPBRC, George Silasi amesema kuwa kwa sasa kamisheni ya ngumi haiwezi kuwaruhusu Mwakinyo na Twaha kiduku wapigane.

account_circle
Golden coin(@Goldenc221) 's Twitter Profile Photo

pole sana champ hassan mwakinyo kwa kumpoteza mama,Mungu akupe faraja na moyo wa subra kunako wakati huu mgumu kwako.
''Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aipumzishe roho ya mama yetu mpendwa pahala pema peponi''

pole sana champ @HassanMwakinyo kwa kumpoteza mama,Mungu akupe faraja na moyo wa subra kunako wakati huu mgumu kwako.
''Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aipumzishe roho ya mama yetu mpendwa pahala pema peponi''
account_circle
UFM Radio(@ufmradiotz) 's Twitter Profile Photo

Jumamosi hii Septemba 03, 2022, Bondia atapanda ulingoni kuzichapa na bodia wa Uingereza katika ukumbi M&S Bank Arena ndani ya Jiji la Liverpool.

Pambano hili utalishuhudia mubashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 12:00 jioni.

account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Bondia Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lisilo na ubingwa dhidi ya Kuvesa Katembo kutoka Afrika Kusini.

Pambano hilo lililochezwa katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma lilikuwa na mizunguko (round) nane ambapo ameshinda kwa alama.

Bondia Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lisilo na ubingwa dhidi ya Kuvesa Katembo kutoka Afrika Kusini.

Pambano hilo lililochezwa katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma lilikuwa na mizunguko (round) nane ambapo ameshinda kwa alama.

#MwakinyoKuvesa #HassanMwakinyo #KuvesaKatembo
account_circle