EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: “Napenda kubaki Yanga lakini hawajanifuata kwa ajili ya mazungumzo ya mkataba mpya nimebakiza mwezi mmoja tu hakuna mazungumzo yoyote hivyo kama kuna timu zinahitaji huduma yangu zinatakiwa kuwasiliana na meneja wangu yupo Angola”amesema beki wa Yanga, - Joyce…

#MICHEZO: “Napenda kubaki Yanga lakini hawajanifuata kwa ajili ya mazungumzo ya mkataba mpya nimebakiza mwezi mmoja tu hakuna mazungumzo yoyote hivyo kama kuna timu zinahitaji huduma yangu zinatakiwa kuwasiliana na meneja wangu yupo Angola”amesema  beki wa Yanga,  - Joyce…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Hamis kavila Mkazi wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, anasema faini ikiwekwa kiasi cha shilingi milioni 1, kwa madereva wanaosababisha ajali itasaidia madereva kuogopa kusababisha ajali za barabarani kwani wengi hawaogopi kwa sababu wana imani hata wakisababisha ni…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Wananchi mkoa wa Dar es Salaam, wameiomba Serikali kutoa Elimu ya namna ya kuepukana na athari za Kimbunga kinachotarajiwa kutokea kati ya Mei 2 mpaka Mei 6, 2024 katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya Mtwara, Lindi, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Dar es…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: CHRISTINA SHUSHO AKIZUNGUMZIA UKWELI WA MAISHA YAKE
''I got married very early at a very young age, Na mimi nikiwa na miaka 20. I already had a baby by 26 nilikuwa na 3 kids and that was it, so by 26 kiumbe hapa nilikuwa na watoto watatu but guess what? sikuwa najijua…

#SalamaNa: CHRISTINA SHUSHO AKIZUNGUMZIA UKWELI WA MAISHA YAKE
''I got married very early at a very young age, Na mimi nikiwa na miaka 20. I already had a baby by 26 nilikuwa na 3 kids and that was it, so by 26 kiumbe hapa nilikuwa na watoto watatu but guess what? sikuwa najijua…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Kwa sasa Tanzania ni mzalishaji wa pili wa tumbaku Afrika kutoka katika kundi linaloitwa 'others' ambapo uzalishaji umeongezeka kutoka tani elfu 70.69 mwaka 2021/2022 na sasa ni uzalishaji wa tani 125,592 msimu ujao tunatarajia kufika tani laki 2,' - Hussein Bashe Waziri wa…

: ''Ki kawaida kabisa naweza kulala saa '4' au saa '5' ila naamka saa '8' usiku. Lakini may be ni lale tena kama sina jambo la asubuhi sana saa 11 lakini mostly ukiniona nimeamkaa saa 8 na siku lala tena'' - via SalamaNa

Unaweza kuitazama muda huu…

#SalamaNa: ''Ki kawaida kabisa naweza kulala saa '4' au saa '5' ila naamka saa '8' usiku. Lakini may be ni lale tena kama sina jambo la asubuhi sana saa 11 lakini mostly ukiniona nimeamkaa saa 8 na siku lala tena'' - #christinashusho via SalamaNa

Unaweza kuitazama muda huu…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Wizara imeendelea kutekeleza programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT) kwa vijana na wanawake yenye malengo ya kuongeza ajira zenye staha, kuongeza tija, kubakiza wakulima katika sekta na kupunguza umaskini, hadi Aprili, 2024 ajira 475,025 zimezalishwa katika sekta ya kilimo…

Nigeria imeongeza mishahara kwa watumishi wa umma kwa kati ya asilimia 25% na 35% huku ikiwasaidia kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha.

Mfanyakazi wa serikali anayelipwa mshahara mdogo zaidi sasa atapata Dola 324 sawa na shilingi Tsh. 839,160.84 kwa mwaka,…

#HABARI Nigeria imeongeza mishahara kwa watumishi wa umma kwa kati ya asilimia 25% na 35% huku ikiwasaidia kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha.
 
Mfanyakazi wa serikali anayelipwa mshahara mdogo zaidi sasa atapata Dola 324 sawa na shilingi Tsh. 839,160.84 kwa mwaka,…
account_circle