Thank yโall @kenedytheremedy ENOS fan wa Millard meena @djzeroxxl and the whole crew cloudsfm @MoniCentrozone ilikuwa poa sana #Tunashine with Mwanangu Rapcha kwenye #Jiwelawiki
Wanangu wa viti virefu, wazee wa tutalewa leooo๐คฉโฆ
โฆunajisikia aje upo counter saafi unatikisa miguu huku umetia 4 yako saafi, af kuna Ngano inashuka taratiiibu๐
Muwapo hapo counter, kwenye connection zenu msinisahau mchizi @MoniCentrozone
cc: m.s.a.k.i โ Daktari Wa Manesi ๐๐
#Real freestyle By Kingโฃ๏ธ Video Is Out Now on Youtube
Directed by @Moe_noah
Track produced by @Papa_tz
youtu.be/9X5p9PVC3d0
Please watch, like, Comment na usiache kushare.
Kingโฃ๏ธ Rapcha Dullah_theKing๐น๐ฟ HUNTER ๐พ๐๐๐ ๐ด Country Boy Moni_Centrozone
SHOUT OUT @/MichaelLove. Moni_Centrozone Dizasta Vina
#KenyaVsTanzania all the smoke ๐ฎโ๐จ
#BURUDANI Rapa @Moni_Centrozone umuhimu wa muziki wa unavyopokolewa na mashabiki kwenye shows.
#FridayNightLive #FNL #MoniCentrozone
#BURUDANI @Moni_Centrozone akifunga sababu za wasanii wa HipHop kutoonekana kwenye shows.
#FridayNightLive #FNL #MoniCentrozone
#BURUDANI 'Nime-Change Formation yangu, siwezi kufanya hizo Collabo za watu wengi. Nimekuwa nikizfanya sana kwangu mimi haziniongezei kitu' - Moccasin
#PlanetBongo #CountryWizzy #HipHop #Rap #Moco #MoniCentrozone
Nani alimtuma mwamba Malume @MoniCentrozone kumfuture mwamba Chid Beenz kwenye #Kovu #HaikuwaSawa maana Kuna mtu katupwaaaa mbaliii nilikupa ball na ukashindwa kuchezea... Beeenzi anajua sana
๐ฅ๐๐คช
#BURUDANI Tegemea kusikia tena chemistry ya 'Moco' @MoniCentrozone na Moccasin kwenye nyimbo zao zitakazofuata.
#CountryWizzy anasema wana ngoma 9 na Moni ambazo zipo tayari.
#PlanetBongo #CountryWizzy #HipHop #Rap #Moco #MoniCentrozone