Ado Shaibu(@AdoShaibu) 's Twitter Profileg
Ado Shaibu

@AdoShaibu

Secretary General, Alliance for Change & Transparency (ACT Wazalendo)

ID:594493764

linkhttps://www.actwazalendo.or.tz/ calendar_today30-05-2012 08:10:05

24,5K Tweets

62,3K Followers

1,3K Following

Abdul Nondo 🇹🇿(@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

UCHAGUZI ACTWASO

Tarehe 27 Aprili, Katibu wa Idara ya Vyuo vikuu Ndg Baswariyyu amekuwa mgeni rasmi katika Uchaguzi wa kuwapata Viongozi wa ACTWASO Tawi la UDSM. Ndugu Baswarriyu ameahidi ACT kukita mizizi Vyuo vyote nchini.

UCHAGUZI ACTWASO Tarehe 27 Aprili, Katibu wa Idara ya Vyuo vikuu Ndg @HusseinBaswari1 amekuwa mgeni rasmi katika Uchaguzi wa kuwapata Viongozi wa ACTWASO Tawi la UDSM. Ndugu Baswarriyu ameahidi ACT kukita mizizi Vyuo vyote nchini. #SoteniWashindi #UDSMisPurple #NgomeipoKazini
account_circle
Creator CLEN(@DirectorTheking) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu akitoa neno la shukrani baada ya kushiriki ibada maalum ya kumshukuru Mungu kwa kumtendea mambo makubwa katika maisha yake. Ibada imefanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Nshara Machame.

Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy akitoa neno la shukrani baada ya kushiriki ibada maalum ya kumshukuru Mungu kwa kumtendea mambo makubwa katika maisha yake. Ibada imefanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Nshara Machame.
account_circle
Dotto Rangimoto🇹🇿🇨🇳(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga(@ezekiel_kamwaga) 's Twitter Profile Photo

Msiogope mabadiliko kwenye vyama. Leo hii, ⁦Dorothy Semu⁩ anapeleka ⁦ACTWazalendo⁩ katika maeneo ambako pengine ⁦Zitto MwamiRuyagwa Kabwe⁩ angepata taabu kuingia. Anazungumza na kuwaelewa watu kwa namna ambayo huenda ZZK asingeweza. Mabadiliko ni muhimu. Wakati wote, popote

Msiogope mabadiliko kwenye vyama. Leo hii, ⁦@SemuDorothy⁩ anapeleka ⁦@ACTwazalendo⁩ katika maeneo ambako pengine ⁦@zittokabwe⁩ angepata taabu kuingia. Anazungumza na kuwaelewa watu kwa namna ambayo huenda ZZK asingeweza. Mabadiliko ni muhimu. Wakati wote, popote
account_circle
shangwe Ayo(@ayo_shangwe) 's Twitter Profile Photo

Kilimanjaro 📌

Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu ameshiriki ibada na kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu kwa matendo makuu aliyo mtendea maishani . Ibada imefanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Nshara Machame.
Askofu mstaafu wa…

Kilimanjaro 📌 Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy ameshiriki ibada na kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu kwa matendo makuu aliyo mtendea maishani . Ibada imefanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Nshara Machame. Askofu mstaafu wa…
account_circle
MwanaHALISI Digital(@Mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Mchungaji wa Kanisa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Nshara Mch. Rodric Mlayi amesema kuwa Usharika huo unabahati kubwa kwa kupata viongozi wakubwa wawili vyama vikubwa vya siasa ambao ni Dorothy wa ACT na Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha Chadema.

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Leo asubuhi nilishiriki Ibada ya shukran ya Dorothy Semu Kiongozi wa Chama ACTWazalendo katika Kanisa la KKKT Usharika wa Nshara, Machame mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Kanisa Mstaafu wa Kanisa la KKKT Baba Askofu Shoo alikuwa sehemu ya wageni waliombatana nasi katika ibada hiyo.

Leo asubuhi nilishiriki Ibada ya shukran ya @SemuDorothy Kiongozi wa Chama @ACTwazalendo katika Kanisa la KKKT Usharika wa Nshara, Machame mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Kanisa Mstaafu wa Kanisa la KKKT Baba Askofu Shoo alikuwa sehemu ya wageni waliombatana nasi katika ibada hiyo.
account_circle
MwanaHALISI Digital(@Mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

MCHUNGAJI AMUOMBA ZITTO KUGOMBEA UBUNGE

Mchungaji wa Kanisa la KKKT Doyosisi ya Kaskazini Usharika wa Nshara (Hai) Mch. Rodric Mlayi amemtaka Zitto Kabwe agombee ubunge ili sauti ya utetezi wa wanachi indelee kusikika bungeni .

MCHUNGAJI AMUOMBA ZITTO KUGOMBEA UBUNGE Mchungaji wa Kanisa la KKKT Doyosisi ya Kaskazini Usharika wa Nshara (Hai) Mch. Rodric Mlayi amemtaka Zitto Kabwe agombee ubunge ili sauti ya utetezi wa wanachi indelee kusikika bungeni .
account_circle
Dotto Rangimoto🇹🇿🇨🇳(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

'Zitto MwamiRuyagwa Kabwe natarajia kwamba utaendelea kukaa pembeni kama mshauri. Mimi nilikuwa Mkuu wa Kanisa, sasa nimemaliza kipindi changu kama ulivyomaliza; na ukaachia kwa amani—sio kama kwenye vyama vingine.'

Askofu Mstaafu wa KKKT
Fredrick Shoo

account_circle
MwanaHALISI Digital(@Mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea kuadhimisha siku ya Demokrasia ya Chama cha ACT Wazalendo mkoani Kilimanjaro tarehe 27 Aprili 2024, viongozi wa chama hicho wamefanya ziara ya kutembelea baadhi ya vivutio vya Kilimanjaro waliyoiita 'Utalii wa Kisiasa' wakilenga kubaini changamoto za sekta ya utalii

ACTWazalendo(@ACTwazalendo) 's Twitter Profile Photo

KC Dorothy Semu, Makamu Mwenyekiti Bara, Isihaka Mchinjita na Kaimu Katibu Mkuu, Salim Bimani wametembelea Maporomoko ya Maji ya Materuni.

Wakizungumza wakiwa katika maporomoko hayo, viongozi wamesikitishwa kuona utajiri wa vivutio unavyoshindwa kuacha athari kwenye maisha ya watu;…

KC @SemuDorothy, Makamu Mwenyekiti Bara, @MchinjitaIR na Kaimu Katibu Mkuu, @salimbimani2 wametembelea Maporomoko ya Maji ya Materuni. Wakizungumza wakiwa katika maporomoko hayo, viongozi wamesikitishwa kuona utajiri wa vivutio unavyoshindwa kuacha athari kwenye maisha ya watu;…
account_circle
Dotto Rangimoto🇹🇿🇨🇳(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu na Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita leo walikuwa Moshi Fm, pamoja na mambo mengine wamezungumzia miaka 10 ya chama na Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia utakaofanyika kesho Aprili 27, 2024.

Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy na Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu @MchinjitaIR leo walikuwa Moshi Fm, pamoja na mambo mengine wamezungumzia miaka 10 ya chama na Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia utakaofanyika kesho Aprili 27, 2024. #10MaslahiYaTaifa #10MamlakaKamili
account_circle
Bonifasia Mapunda(@BonfasiaMapunda) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu na Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita leo walikuwa Moshi Fm, pamoja na mambo mengine wamezungumzia miaka 10 ya chama na Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia utakaofanyika kesho Aprili 27, 2024.

Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy na Makamu Mwenyekiti Bara, Ndugu @MchinjitaIR leo walikuwa Moshi Fm, pamoja na mambo mengine wamezungumzia miaka 10 ya chama na Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia utakaofanyika kesho Aprili 27, 2024. #10MaslahiYaTaifa #10MamlakaKamili
account_circle
Rahuuuum(@RahmaMwita) 's Twitter Profile Photo

Kwaniaba ya Ngome ya vijana_Official ,tunasikitika kitendo cha Police kuwakamata ndug. MalisaGJ na Boniface Jacob kwa kupaza sauti dhidi ya mauaji ambayo Police wamekuwa wakiyafanya dhidi ya Vijana. Ni ukweli usiopingika Police wanauwa vijana jambo hili tumekuwa tukilisema siku zote.

Kwaniaba ya @NgomeyaVijana ,tunasikitika kitendo cha Police kuwakamata ndug. @MalisaGJ_ na @ExMayorUbungo kwa kupaza sauti dhidi ya mauaji ambayo Police wamekuwa wakiyafanya dhidi ya Vijana. Ni ukweli usiopingika Police wanauwa vijana jambo hili tumekuwa tukilisema siku zote.
account_circle
MwanaHALISI Digital(@Mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

'Sisi Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo tunasikitishwa na kitendo cha Polisi kumkamata Godlisten Malisa na Boniface Jacob kwa kupaza sauti dhidi ya tuhuma mauaji zinazowakabili. Ni ukweli usiopingika polisi wanahusishwa na mauaji jambo hili tumekuwa tukisema siku zote' Abdul Nondo