EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Ni kweli mahusiano yana vitu vingi sana na kila mmoja ana changamoto zake anazozipitia katika mahusiano yake, je wewe ni mmoja wao na una maswali unajiuliza hupati majibu?

Leo katika ULIZA DADAZ kama una swali lolote la kimahusiano na unahitaji kupata msaada wa majibu,…

#DADAZ: Ni kweli mahusiano yana vitu vingi sana na kila mmoja ana changamoto zake anazozipitia katika mahusiano yake, je wewe ni mmoja wao na una maswali unajiuliza hupati majibu?

Leo katika ULIZA DADAZ kama una swali lolote la kimahusiano na unahitaji kupata msaada wa majibu,…
account_circle
DADAZ Family(@DadazFamily) 's Twitter Profile Photo

< 다다즈 개인전 >

일시 : 5월24일 - 30일
장소 : 연희동 연남장
오프닝 : 5/24일 문의 DM 🦦

< 다다즈 개인전 >

일시 : 5월24일 - 30일
장소 : 연희동 연남장
오프닝 : 5/24일 문의 DM 🦦
account_circle
Dadaz(@dadazchess) 's Twitter Profile Photo

Happy Labour Day, Malawi! Dadaz salutes the dedication and hard work of all workers across the nation. Your efforts drive progress and inspire us all. Here's to a day of rest and celebration!

Happy Labour Day, Malawi! Dadaz salutes the dedication and hard work of all workers across the nation. Your efforts drive progress and inspire us all. Here's to a day of rest and celebration! #LabourDay #Dadaz #Malawi
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Leo katika Uliza DADAZ, unamshauri nini bi dada huyu anayedai kusumbua na mumewe licha ya kuachana naye na kwenda nyumbani kwao bado anamtafuta kumfanyia fujo. Chanzo cha mwanamke kumkimbia mumewe ni mwanaume kuleta wanawake wengine na kuongea nao kupitia simu ya mkewe…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Leo katika DADAZ tunakuuliza, hivi unapenda kuzungukwa na wanawake wa aina gani?

Usikose kutazama DADAZ leo Jumanne saa 5 kamili asubuhi kupitia pekee na comment yako itasomwa live.

Cc Bhoke Nia Egina @msnajmapaul @mwanneothmankamby

#DADAZ: Leo katika DADAZ tunakuuliza, hivi unapenda kuzungukwa na wanawake wa aina gani?

Usikose kutazama DADAZ leo Jumanne saa 5 kamili asubuhi kupitia #EastAfricaTV pekee na comment yako itasomwa live.

Cc @bhokeegina @msnajmapaul @mwanneothmankamby

#DADAZ #EastAfricaTV…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Mtangazaji wa DADAZ @mwannrothmankambh amesema Hana sababu ya kwenda kufanya plastis surgery Kwa ajili ya kubadilisha maumbile kwani anajikubali muundo wa maumbile yake.

Je wewe unajikubali na umbo lako?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Leo katika DADAZ tuambie, huwa unaoga kwa sabuni inayozingatia afya ya ngozi yako au ili mradi tu umesafisha mwili muda huo? Desturi yako iko vipi katika hilo?

Usikose kutazama DADAZ leo Jumatatu saa 5 asubuhi ndani ya .

#DADAZ: Leo katika DADAZ tuambie, huwa unaoga kwa sabuni inayozingatia afya ya ngozi yako au ili mradi tu umesafisha mwili muda huo? Desturi yako iko vipi katika hilo?

Usikose kutazama DADAZ leo Jumatatu saa 5 asubuhi ndani ya #EastAfricaTV.

#DADAZ #EastAfricaTV #HainaKuchoka…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Mhariri Salome Kitomari amesema alikuwa akiweka kigodoro kwenye makalio ili kuzuia maumivu ya fimbo alipokuwa shule ya msingi.

Je, wewe ulikuwa unaweka nini kuzuia fimbo?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Bhoke Nia Egina leo kwenye DADAZ amefunguka kwa kusema katika ukuaji wake aliwahi kupuliza kondom akidhani puto lakini alishtuka baada ya kuona puto hilo linateleza.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Mhariri Salome Kitomari amesema aliacha kuwachapa fimbo watoto wake wakiwa na umri wa miaka 12.

Je, mzazi wako aliacha kukuchapa ukiwa na umri gani?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Salome Kitomari amesema wazazi wakumbatieni watoto wenu ili kuwajengea upendo na wasifieni pale wanapofanya vizuri ili kuwaongezea uwezo wa kujiamini.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Katika Uliza DADAZ kuna hii ya mwanaume kuendelea kumzungumzia mwanamke wake wa zamani akiwa na mwanamke wake wa sasa ambaye ndio huyu dada. Yaani kila siku mwanaume anamtaja ex wake!

Ungemshauri nini huyu dada, aendelee na huyu mwanaume au dada a-move on?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: @suzibale_og ameweka wazi kuwa yuko katika mahusiano na mtu ambaye hataki watu wamfahamu na ameongeza kuwa hajawahi kuachwa katika mahusiano kwasababu anajiamini na kazi yake, hivyo yeye ndio huwa anaacha.

account_circle