EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Meneja wa mchezaji Kibu Dennis bwana Carlos sylivester ameongea na Kipenga Extra juu ya kile kinachosemwa kuhusiana na mchezaji wake, Ambapo amefafanua kwamba wamepokea kutoka na timu nyingne kwenye nchi tatu tofauti amefafania kuhusu taratibu…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: CHRISTINA SHUSHO AWEKA WAZI TIMU ANAYOSHABIKIA

Salama: Uko na favourite team?

Shusho: Yeah, Yanga.. I'm sorry i know wewe ni Simba but unfortunately, Mimi ni Mwananchi - via SalamaNa

Unaweza kuitazama muda huu kupitia EATV pekee

Cc: @yahstonetown…

#SalamaNa: CHRISTINA SHUSHO AWEKA WAZI TIMU ANAYOSHABIKIA

Salama: Uko na favourite team?

Shusho: Yeah, Yanga.. I'm sorry i know wewe ni Simba but unfortunately, Mimi ni Mwananchi - #christinashusho via SalamaNa

Unaweza kuitazama muda huu kupitia EATV pekee

Cc: @yahstonetown…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Mtu mmoja ambaye jina lake halijafamika amefariki dunia papohapo baada ya kukanyagwa na gurudumu la nyuma la gari la mizigo lenye namba za usajili T 533 DLN aina Fuso katika mteremko wa Simike Jijini Mbeya lilokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Mamlaka ya Mji mdogo wa…

#HABARI Mtu mmoja ambaye jina lake halijafamika amefariki dunia papohapo baada ya kukanyagwa na gurudumu la nyuma la gari la mizigo lenye namba za usajili T 533 DLN aina Fuso katika mteremko wa Simike Jijini Mbeya lilokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Mamlaka ya Mji mdogo wa…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: ''Nilikuwa ni mtu wa kumtegemea mwanaume, lakini nikasema siwezi kuendelea na haya maisha yule mtu ili nimfikie, nikaanza kuuza karanga. Karanga zile za shilingi 10 enzi hizo nilikuwa nafunga naweka mbele ya nyumba, nikapata courage kwa sababu nilikuwa nakaa karibu na…

#SalamaNa: ''Nilikuwa ni mtu wa kumtegemea mwanaume, lakini nikasema siwezi kuendelea na haya maisha yule mtu ili nimfikie, nikaanza kuuza karanga. Karanga zile za shilingi 10 enzi hizo nilikuwa nafunga naweka mbele ya nyumba, nikapata courage kwa sababu nilikuwa nakaa karibu na…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Kijana mmoja anayefahamika kama Boaz Sanga ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza, amefariki baada ya kuzama wakati akijaribu kuogelea kwenye ziwa Viktoria.

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Jeshi la zimamoto Mwanza Kamila Laban,…

#HABARI Kijana mmoja anayefahamika kama Boaz Sanga ambaye alikuwa mwanafunzi wa  Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza,  amefariki baada ya kuzama wakati akijaribu kuogelea kwenye ziwa Viktoria. 

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Jeshi la zimamoto Mwanza Kamila Laban,…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

“Nimeagiza vyombo kutoka Dubai, nimeanza mazoezi na June 1,224 nitakuwa rasmi kuruhusu simu mbalimbali za kazi. Prince Dully Sykes nimeshakuwa mtu mzima na nina band yangu”.

“Kama mtu atakubaliana na pesa nitakayomtajia nitaenda kufanya show popote atakapotaka” - Dully Sykes…