EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Discussion ni unaamini Collabo zinaweza kumpeleka msanii katika levels za kimataifa? @orgenes13 yeye anaamini collabo haziwezi kumpeleka msanii kimataifa, vipi kwako?

The Cruise ipo live muda huu

@conniebeily @modoo_255 & @orgenes13

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Huu ndio ukubwa alionao msanii DreamDoll kutoka Marekani aliyeshiriki kwenye wimbo mpya wa @rayvanny unaitwa .

The Cruise ipo live muda huu

@conniebeily @modoo_255 & @orgenes13

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Msanii The Nanay akipiga story na ya watu kufananisha muonekano wake na Mzee wa Commercial MASTA

Ni kweli unamuona AY ndani ya ?

kila siku ya J3 mpaka Alhamisi kuanzia 3:00 - 5:00 usiku.

@conniebeily

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

; Stori ya @conniebeily na rafiki yake aliyemchania madaftari kwasababu alikuwa hapendi kumuona akifaulu, Connie naye alilipiza kisasi.

Umewahi kulipa kisasi kwa mtu yoyote kwa sababu ipi?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

; @conniebeily katoa dongo kwa wale watu wanaoishi nyumba za kupanga unakuta asubuhi tu watu wamekaa nje unakosa uhuru wa kufanya mambo yako.

Vitu gani huwa vinakukera kwenye nyumba za kupanga?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Discussion ya @modoo_255 na @conniebeily kuhusu Producers wakali kwenye muziki wa Bongofleva, kwako nani Mtayarishaji bora wa muziki hapa nchini?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Hivi umewahi kuibiwa wazo lako la kibiashara na mtu mwingine na ulichukua hatua gani?

Ungana na team ya ya kuanzia saa 11:00 jioni.

CC & Connie

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Mchekeshaji @ericomondi anasema Industry ya Comedy East Africa imekufa kwa sababu baada ya kuacha kufanya kazi hiyo mpaka akiamua kurudi jukwaani kuanza kuchekesha tena.

@conniebeily @modoo_255

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'KRG si msanii ila atakuwa ni mwana biashara ambaye saa zingine ni Mcheshi' - ERIC OMONDI akijibu swali la Connie kuhusu KRG kutamba kuwa msanii Tajiri zaidi Kenya.

Connie @modoo_255

account_circle