EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'CCM hawapaswi kujibu kwa kupotosha, lenye mvutano mkubwa ni lile sisi tulisema kwa mujibu wa CAG jumla ya trilioni 1.5 hatujui ziko wapi'. - Ado Shaibu

account_circle
jaha salum(@jah__people) 's Twitter Profile Photo



''Sheria imeeleza mtu anapokaidi amri ya Askari inabidi askari atumie nguvu ya kadri lakini hiyo nguvu ya kadri haijafafanuliwa iwe ya kiasi gani au ya ukubwa fulani'' - Idara ya upelelezi.


Ahsante kwa Ufafanuzi huu

account_circle
Nasibu_Martin(@nasibnziku) 's Twitter Profile Photo

EastAfricaRadio Wa Gomsi 88.1 kiukweri kwasisi wakazi wa Gongolamboto Ulongoni b tungetamani kuona mbunge wetu akiwasilisha kero hizi balabala mbovu inayo unganisha pande hizo 2 pamoja na daraja lilisombwa na mvua za masika ya mwaka Jana hivyo tunakero Mwita waitara Paul Makonda

account_circle
Greedy Gourmet(@greedygourmet_) 's Twitter Profile Photo

When it comes to quick and delicious healthy midweek recipes, this chicken mince stir fry is up there with the best of them!

account_circle
CEIAG@Poole_High(@CEIAG_PHS) 's Twitter Profile Photo

Delighted to have hosted this month's CEC EA meeting here Poole High School Fantastic group of individuals committed to supporting BPC schools in delivering outstanding with their wealth of knowledge & experience in the world of work

Delighted to have hosted this month's CEC EA meeting here @poole_high Fantastic group of individuals committed to supporting BPC schools in delivering outstanding #CEIAG with their wealth of knowledge & experience in the world of work
#informingtheirfutures #opportunities
account_circle
Frednand F Sengula(@SengulaF) 's Twitter Profile Photo

Ni kwanini Ado Shaibu anaamini taarifa iliyotolewa na CCM kupitia RECUR ina walakini...? by Fredy Sengula University of dar es salaam nawapata vyema. twitter.com/earadiofm/stat…

account_circle
Nasibu_Martin(@nasibnziku) 's Twitter Profile Photo

EastAfricaRadio Wa Gomsi dar 88.1 Habari za studio nipo kujua Mengi hasa juu ya mwenendo wa upatikanaji wa vitambulisho vya taifa kutoka NIDA Tanzania je nilini itakua wa Tanzania wote tumesha pata na ili kufanikisha usajili wa line Kwa vidole mh dkt Hassan Abbasi anasemaje

account_circle
Nasibu_Martin(@nasibnziku) 's Twitter Profile Photo

EastAfricaRadio Nipo safarini kwenda mjini Iringa 90.9 ndio Mimi nilikua nandoto nilipo kuwa mtoto yakua mwalimu nikiwa mkubwa na ndoto Yangu hio haija timia kwasababu zilizo inje ya uwezo wangu tuko pamoja

account_circle